Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nimeongea jana hapa, kuhusu hii saga ya Remy, kina The Magnificent na rubaman wakawa wanaona kama nalalamika sana!!

Remy KATOSWA kwasababu ya BORINI..

Na ni upuuzi kuona unamtosa mchezaji ambaye alikuwa na uwezo wa kufikisha magoli 15-20 akicheza na kina Anita, boby zamora, Sissokho, Ameobi..kwa ajili ya mchezaji ambaye kacheza na kina luis suarez, SG na kina Phill..na hakufikisha hata magoal ma3..

Vyombo vya habari vinamtia kiburi sana BR, anajiona kama Fergie au Mourinho..Atafeli vibaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Borini alijitafutia sababu ya kujifanya kaumia jamaa anataka kuwakomoa LFC! Hataki kwenda ila Profile pic Twitter kawacha ya Sunderland na pia kinachomletea ujeuri na Mpenzi wake aliyemvalisha pete ni mtu wa LFC demu naye anachangia jamaa asitake kuondoka ila Borini ataondoshwa tu mtaona, ila bado naamini Remy si Borini sababu watu wahabari wanapenda kuandika wanachotaka wao Yule dogo ni matatizo Yale Yale waliyokuta Marseille na Stoke sababu nasikia alishawekewa Number 7 jezi hapa ndipo japo Remy nimetaka awepo ila kupewa number 7 inamaanisha hakuna big name atayekuja LFC kwahiyo tusahau Big Players.
 
Ngoja afeli ili wamrudishe Rafa..
 
BR kashasema hatosajili majina,atasajili wachezaji.
 
nimeongea jana hapa, kuhusu hii saga ya Remy, kina The Magnificent na rubaman wakawa wanaona kama nalalamika sana!!

Remy KATOSWA kwasababu ya BORINI..

Na ni upuuzi kuona unamtosa mchezaji ambaye alikuwa na uwezo wa kufikisha magoli 15-20 akicheza na kina Anita, boby zamora, Sissokho, Ameobi..kwa ajili ya mchezaji ambaye kacheza na kina luis suarez, SG na kina Phill..na hakufikisha hata magoal ma3..

Vyombo vya habari vinamtia kiburi sana BR, anajiona kama Fergie au Mourinho..Atafeli vibaya sana.

I respectfully differ with you... Liverpool are not that cheap kuendeshwa na Borini, i think kuna shida ya medical kweli

in 2010 Remy aligundulika ana heart problem kama ile ya Kanu, au Mohammed Diame wa westham... hatujui kuna risk gani imegundulika zaidi, in addition, Remy alikua na issue ya goti since january
 
Jana BR aliulizwa atamchezesha Lovren sehemu ipi,RCB au LCB? Na atamdrop nani kati ya Agger na Skirtel? Akawajibu reporters kuwa atakuwa anawachezesha wote wa3 kwa pamoja
 
Ngoja afeli ili wamrudishe Rafa..

RAFAAAAAAA!!!!

muda kama huu wa usajili alikuwa anazama Chimboni Spain hukooo..Afu anaibuka na kina Alonso, riera, Aurerio, Garcia, torres..kazama chimbo denmark kaibuka na Agger, Kazama chimbo slovakia hukooo kaibuka na skriter..

Baros aling'aa tu kidogo Monaco kule, kaenda kubeba fastaaaa!!!

kazama czech kule, akaibuka na Smicer (babu) watu wakamshangaa sana, Babu akaja kuwaua Milan nae pale instanbul..

Rafaaa..nimem-miss saaana...
 
I respectfully differ with you... Liverpool are not that cheap kuendeshwa na Borini, i think kuna shida ya medical kweli

in 2010 Remy aligundulika ana heart problem kama ile ya Kanu, au Mohammed Diame wa westham... hatujui kuna risk gani imegundulika zaidi, in addition, Remy alikua na issue ya goti since january

Kama Borini akiondoka LFC, ndo nitaamini kuwa tatizo la Remy lilikuwa ni Medical..Lakin akibaki, ntabaki na msimamo wangu huu huu..
 
Jana BR aliulizwa atamchezesha Lovren sehemu ipi,RCB au LCB? Na atamdrop nani kati ya Agger na Skirtel? Akawajibu reporters kuwa atakuwa anawachezesha wote wa3 kwa pamoja

kama Agger akibaki, atakuwa ni fourth choice..

Naiona kabisa partnership ya Lovren na Skritel...
 
RAFAAAAAAA!!!!

muda kama huu wa usajili alikuwa anazama Chimboni Spain hukooo..Afu anaibuka na kina Alonso, riera, Aurerio, Garcia, torres..kazama chimbo denmark kaibuka na Agger, Kazama chimbo slovakia hukooo kaibuka na skriter..

Baros aling'aa tu kidogo Monaco kule, kaenda kubeba fastaaaa!!!

kazama czech kule, akaibuka na Smicer (babu) watu wakamshangaa sana, Babu akaja kuwaua Milan nae pale instanbul..

Rafaaa..nimem-miss saaana...

Rafa kwangu anabaki kuwa manager bora tangu nianze kuishabikia LFC,huyu BR hana hata kombe la mbuzi,Rafa sio saizi yake kbs,but naiheshimu project anayoendelea nayo pale LFC.
 
RAFAAAAAAA!!!!

muda kama huu wa usajili alikuwa anazama Chimboni Spain hukooo..Afu anaibuka na kina Alonso, riera, Aurerio, Garcia, torres..kazama chimbo denmark kaibuka na Agger, Kazama chimbo slovakia hukooo kaibuka na skriter..

Baros aling'aa tu kidogo Monaco kule, kaenda kubeba fastaaaa!!!

kazama czech kule, akaibuka na Smicer (babu) watu wakamshangaa sana, Babu akaja kuwaua Milan nae pale instanbul..

Rafaaa..nimem-miss saaana...
inaonyesha hapo juu wote hao hakuna aliowajuwa Baros na Smicer walikuwa wa GH na si RB ila Rafael Benitez kakuza majina Alonso na Little Garcia hasa Little Garcia alikuwa anajuwa kuhangaika na kupiga mabao ya ajabu Alonso na Garcia wanajijuwa ni LFC damu 4 Life.
 
Yah!..hapo kwa baros na babu, nimechanganya walikuwa wa Mzugaji GH..manake Benizet alinunua wachezaji 60 kipind chote alichokuwepo LFC.

Akina Kuyt, Mascherano, Leiva, Arbeloa, Benayoun, Momo sisokko, Agger, Skirtel, Riera, Aurelio, Babel, crouch, reina, torres, bellamy, Alonso walipata coverage ya kutosha sana chini ya Benitez..dunia iliwatambua kuptia LFC..

Wale kina Zenden, voronin, Aquilan, Nunez, Itandje, insua, jovanovic, cavaller, keane, Ngog, baragan, pennant, duran, nemeth yule, bwana leto..walishindwA kabisa kuprove uwezo wao kwa vipind tofauti, most of them flopped..

naweza nikasema hata Jonjo shelvey, aliflop (haikuwa signing nzuri hii kwa RB)..kwa Raheem ndo aliotea pale..matunda ya Raheem tunayaona..

Akaja baba Hodgson, hahahaha..akavuruga kabisa utaratibu...

Akaja baba Daglish, akaharibu kabisa..!!!!! (alifanya usajili M-bovu saaaana)..without comolli sidhan kama tungempata Suarez..afu nilisoma sehem naskia Daglish chose Downing over Juan Mata kipindi kile...(Comolli alikuwa hatari sana kwenye negotiations)..

.BR
Aspas
Borini
moses
cissokho
Assaidi
Joe Allen
Sturridge
Coutinho
Alberto
Origi
Lovren
kolo
lambert
Sakho
illori
can
Markovic
Lallana
.................!
 
Hii inaonyesha Players wa nje ukiwaacha timu wanatizama Manager maharufu Rogers fundi Mzuri ila Egos na kujikosha kutaka kuwatengenezea England Team atakuja kujutia yeye na Ayre hawajui kuvutia Players kutoka nje angekuwepo Commoli alienda huko Holland akarudi na Player sio Ayre safari za nje anaenda holiday tu kutumia free ticket za team!

Huu Uingereza ndio ulimponza King Kenny.
 
SOUTHAMPTON FC
Shaw
Lambert
Lallana
Lovren
Chambers
Jay Rodriguez & schedarin (reports zinasema wanajoin Spurs)

You can imagine Mashabiki wa So'ton wapo katika hali gani sahiv.
 
Skysports wameandika deal la Remy limeshindikana kutokana na Borini kugoma kwenda Sunderland.

Mkuu
Remy ana matatizo ya valve za moyo kwa muda mrefu sana hata QPR walimchukua kipindi kile kama gamble tu!Kashindwa medical tu
 
kama Agger akibaki, atakuwa ni fourth choice..

Naiona kabisa partnership ya Lovren na Skritel...

Skrtel nae ana makosa mengi sana!Alitoa bao 2 na Fulham, bao 3 kwa Swansea na bao moja kwa Newcastle!Do not write off Sakho na Agger guys!

Fanyeni uchunguzi games alizocheza Agger na mmoja wao ndiyo nyingi tulipata clean sheet
 
Back
Top Bottom