The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Van Gaal Bonge moja la Kochaaa Duniaa nzimaaa hakunaa
umeitwa huku? Wanaume wenzio hatupo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Van Gaal Bonge moja la Kochaaa Duniaa nzimaaa hakunaa
hahahahah!!!
wewe kati ya Bony na Mario unadhani nan anatufaa zaid!!???
umeitwa huku? Wanaume wenzio hatupo hivyo.
Humjui bony kabisa.... He is pact, skillful, powerful and accurateLiverpool itapotea sana next season kama itaendeleza ujanja ujanja wa kutoleta an established ST au AM..
Ukiachana na Uinjury prone wa Danny, pia he's not enough kabisa kuifanya LFC ikompete kwenye titles au even top4..Danny ni mtu wa kuumia muda wowote ule, ndo maana niliskitika sana tulvyomkosa Remy..
Bony, ni ST mzuri kwa kiwango chake, but sidhan kama atafit katika mfumo huu wa LFC (iwe diamond au xmas tree)..hawez, hana pace, hana extra skills, na kikubwa HE'S NOT VERSATILE kabisa (ni kama carrol,demba Ba, Negredo, Soldado, Lukaku, Etc)..bora kuna wenzake hapo wana ile pace, lakin BONY hana pace, hawez kwenda sawa na pace ya kina Raheem, Markovic, lallana, phill, ibe, Suso, au kina kina Can na Hendo wakiwa wanadrive kutoka katikati..wachezaji kama hawa wanahitaji ST ambaye ananyumbulika, Bony hawez kuforce kuingia ndan ya box akiwa na mpira, either iwe pemben au katikati (tofaut na Suarez na Danny)..ili BONY ashine LFC, BR atahitajika kubadilisha mfumo, na kumsimamisha ST mmoja mbele..and we saw that last season, Aliposimama Danny peke yake, MIGS ndo alikuwa Hero wetu kwenye game zile SITA za mwanzo bila Diaz, tulikuwa tunashinda bao MOJA MOJA tena kwa presha sana..na hata Diaz kipind flan alivyosimama Peke yake, tulsttuggle (ni mpaka coutinho alivyokuwa anaingia kucheza deeper akitokea kulia, ndo suarez alilishwa mipira mingi sana).Na unapocheza na COUTINHO lazima uwe na Pace sana, Coz yupo fasta saaaana katika link Ups
Sioni sababu ya kuwa na HELA nyingi, afu uende kumsajili BONY..wakat kuna options kibao out there (ST kibao wapo kwenye market sahiv)
With BONY(kama akija) and DANNY as our main STs i cant see us going anywhere...
Humjui bony kabisa.... He is pact, skillful, powerful and accurate
bony gani unamuongelea ndugu yangu kiwavi? With all due respect to bony,i can't see him fit in our style of playing
Winfrey bony Anajua mpira, ana kasi, ana positioning mzuri sana na anamudu sana fast soka ya Liverpool....
Van Gaal Bonge moja la Kochaaa Duniaa nzimaaa hakunaa
Wakuu kuna maendeleo yyt kwa Moreno?
Maendeleo ya Moreno kutoka vyomba vya habari Spain wanakwenda vema,Tayari Liverpool wamekubaliana na mchezaji kumpa mkataba wa 5yrs kwa kila mwaka 1.5m kilichobaki ni Sevilla wao wanataka chochote watakachokuliana na Liverpool walipwe cash kwa Lengo la kutumia cash hiyo kutafuta mshambuliaji mwingine.
Huyu kuja ni muhimu zaidi hata ya Reus!Huku Flano kule Moreno haki naapia tunapiga yyt yule!
Pia tutajivunia sana benchi letu
Huyu kuja ni muhimu zaidi hata ya Reus!Huku Flano kule Moreno haki naapia tunapiga yyt yule!
Pia tutajivunia sana benchi letu
Ikatokea Kama Kinchesky nitalia moyoni duh hehehehe! tello mkuu chebi najuwa unaipenda Barca ila Tello si mchezaji wa kuchezea LFC wala timu zozote kubwa ndio kachezea Taifa kubwa Kama Barca ila Tello kapata sifa tu za kusifiwa nilikuwa nikiomba sana Tello asije LFC mpira wake bora kumtengeneza Ibe kwenye umaliziaji.Hivi huyu Moreno ni mzuri kiasi gani wakuu maana isije ikawa kama ya Paul Konchesky au Andrea Dossena.
Hivi huyu Moreno ni mzuri kiasi gani wakuu maana isije ikawa kama ya Paul Konchesky au Andrea Dossena.