Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Humjui bony kabisa.... He is pact, skillful, powerful and accurate
 
Winfrey bony Anajua mpira, ana kasi, ana positioning mzuri sana na anamudu sana fast soka ya Liverpool....
 
Wakuu kuna maendeleo yyt kwa Moreno?

Maendeleo ya Moreno kutoka vyomba vya habari Spain wanakwenda vema,Tayari Liverpool wamekubaliana na mchezaji kumpa mkataba wa 5yrs kwa kila mwaka €1.5m kilichobaki ni Sevilla wao wanataka chochote watakachokuliana na Liverpool walipwe cash kwa Lengo la kutumia cash hiyo kutafuta mshambuliaji mwingine.
 
Huyu kuja ni muhimu zaidi hata ya Reus!Huku Flano kule Moreno haki naapia tunapiga yyt yule!

Pia tutajivunia sana benchi letu
 
Huyu kuja ni muhimu zaidi hata ya Reus!Huku Flano kule Moreno haki naapia tunapiga yyt yule!

Pia tutajivunia sana benchi letu

Kweli mkuu! Halafu deal la Javier Manquilo is done kakwea pipa to anfield kwa ajil ya medical. Naona dogo ataleta upinzani kwa flano na Gj kama atamantain kiwango.
 
wakuu vp ishu ya cristian tello kuja liva imeishia wapi?
 
Huyu kuja ni muhimu zaidi hata ya Reus!Huku Flano kule Moreno haki naapia tunapiga yyt yule!

Pia tutajivunia sana benchi letu

Hivi huyu Moreno ni mzuri kiasi gani wakuu maana isije ikawa kama ya Paul Konchesky au Andrea Dossena.
 
Hivi huyu Moreno ni mzuri kiasi gani wakuu maana isije ikawa kama ya Paul Konchesky au Andrea Dossena.
Ikatokea Kama Kinchesky nitalia moyoni duh hehehehe! tello mkuu chebi najuwa unaipenda Barca ila Tello si mchezaji wa kuchezea LFC wala timu zozote kubwa ndio kachezea Taifa kubwa Kama Barca ila Tello kapata sifa tu za kusifiwa nilikuwa nikiomba sana Tello asije LFC mpira wake bora kumtengeneza Ibe kwenye umaliziaji.
 
Hivi huyu Moreno ni mzuri kiasi gani wakuu maana isije ikawa kama ya Paul Konchesky au Andrea Dossena.

Nimemuona Youtube!Moreno mzuri sana kwenye kushambulia na kuanzisha mashambulizi!

Kuwa na caps 5 kwenye senior team kwa nchi yake Spain hadi sasa kwa umri wa miaka 22 tu kunajidhihirisha kuwa ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…