The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Hapa Lucas anajaribu kutuambia nini kwa hii picha? (kaipost kwenye instagram page yake) Janjaweed Pazi The Magnificent Malafyale Mzee Wa Rubisi TIMING The Boss Torres osokonoi etc
ANAMAANISHA NINI HAPA??
Anatoka gizani anaelekea motoni...
there's is right there juu, which can be explained as "light at the end of the tunnel"..
Yaani upo kwenye giza (matatizo), afu mwisho wa siku unaona mwanga (solutions)..
Asa sijajua bado alikuwa anamaanisha nini..!!!
kiukweli siwezi kujuwa yeye na moyo wake ndio unajuwa ila siku hizi ma star social media wakiweka pic Kama hizo asilimia kubwa mmoja akitafsiri anavyojuwa yeye kwa wale wanaomfuatilia basi wengine nao wakimuunga mkono asilimia kubwa itashinda ila Pengine yeye anamaana tofauti, sie tutasema kwa fikra zetu Lucas anajiona yupo LFC kwenye Giza anataka kwenda kwenye mwangaza ila yeye Pengine anajiona alikuwa kwenye Giza ila Imani yake imemuonyesha mwangaza Pengine hayupo Kabisa kwenye suala la LFC Kubaki au kuondoka kwenye Hiyo pic ila sababu wengi ni mashabiki wa mpira watafuatilia kwa nia za maneno ya football. mengine tuwaachie wachezaji na familia zao wapumue Kama sie na familia zetu. Atakuwa yeye a namuomba mungu kwa yake na Imani zake mbali Kabisa na LFC au Football!Hapa Lucas anajaribu kutuambia nini kwa hii picha? (kaipost kwenye instagram page yake) Janjaweed Pazi The Magnificent Malafyale Mzee Wa Rubisi TIMING The Boss Torres osokonoi etc
ANAMAANISHA NINI HAPA??
Hehehehe hehehehe nimecheka mpaka basi mungu atuepushe na moto Amiin!Anatoka gizani anaelekea motoni...
Hivi Markovic alipata majerui makubwa na kesho bado tu dimbani
Hodi mashabiki wenzangu najitambulisha kwenu na nimevutiwa sana na ujuzizi mlionao
Hapa Lucas anajaribu kutuambia nini kwa hii picha? (kaipost kwenye instagram page yake) Janjaweed Pazi The Magnificent Malafyale Mzee Wa Rubisi TIMING The Boss Torres osokonoi etc
ANAMAANISHA NINI HAPA??
Anatoka gizani anaelekea motoni...
alikuwa na groin baada ya ile game ya olympiacos, baadaye akaja kupata hamstring, but he's fine, nadhan hawatak kumRush kurudi, manake Reports zinazema Amekuwa ruled out kwenye game ya kesho kama precoutions tu, isije ikawa balaa zaid..
Na lallana anaweza kurud mapema kuliko ilivyotegemewa..
Achana kabisa na Dr Zaff, yule bwana anajitahidi sana..
Karibu sana Mkuuu.
YWNWA.
Jibu limepatika,Lucas ,huyooo Itary -Napol
Wakuu gemu ya leo tutafaidi make ipo mapema na supersport 3 wanairusha.
Pre-season matchWakuu gemu ya leo tutafaidi make ipo mapema na supersport 3 wanairusha.