Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anatoka gizani anaelekea motoni...

there's is right there juu, which can be explained as "light at the end of the tunnel"..

Yaani upo kwenye giza (matatizo), afu mwisho wa siku unaona mwanga (solutions)..

Asa sijajua bado alikuwa anamaanisha nini..!!!
 
Labda deal lake la kwenda Napoli linakaribia kuitika...
 
Hapa Lucas anajaribu kutuambia nini kwa hii picha? (kaipost kwenye instagram page yake) Janjaweed Pazi The Magnificent Malafyale Mzee Wa Rubisi TIMING The Boss Torres osokonoi etc

ANAMAANISHA NINI HAPA??
kiukweli siwezi kujuwa yeye na moyo wake ndio unajuwa ila siku hizi ma star social media wakiweka pic Kama hizo asilimia kubwa mmoja akitafsiri anavyojuwa yeye kwa wale wanaomfuatilia basi wengine nao wakimuunga mkono asilimia kubwa itashinda ila Pengine yeye anamaana tofauti, sie tutasema kwa fikra zetu Lucas anajiona yupo LFC kwenye Giza anataka kwenda kwenye mwangaza ila yeye Pengine anajiona alikuwa kwenye Giza ila Imani yake imemuonyesha mwangaza Pengine hayupo Kabisa kwenye suala la LFC Kubaki au kuondoka kwenye Hiyo pic ila sababu wengi ni mashabiki wa mpira watafuatilia kwa nia za maneno ya football. mengine tuwaachie wachezaji na familia zao wapumue Kama sie na familia zetu. Atakuwa yeye a namuomba mungu kwa yake na Imani zake mbali Kabisa na LFC au Football!
 
it simply means 'light at the end of the tunnel' sasa hatujui hii light for him or for the club....lets wait and see
 
Hivi Markovic alipata majerui makubwa na kesho bado tu dimbani

alikuwa na groin baada ya ile game ya olympiacos, baadaye akaja kupata hamstring, but he's fine, nadhan hawatak kumRush kurudi, manake Reports zinazema Amekuwa ruled out kwenye game ya kesho kama precoutions tu, isije ikawa balaa zaid..

Na lallana anaweza kurud mapema kuliko ilivyotegemewa..

Achana kabisa na Dr Zaff, yule bwana anajitahidi sana..
 
Hodi mashabiki wenzangu najitambulisha kwenu na nimevutiwa sana na ujuzizi mlionao
 
Nimesikia Barcelona wamemsajili rasmi beki wa kati Thomas Vermaelen kutoka Arsenal. Nakua
Wamemsajili kwa ada ya paundi milioni 15 na vilevile beki huyo amesaini mkataba wa miaka mitano.

Kusajiliwa kwa beki huyo nahisi kutafanya habari za Daniel Agger kuhamia huko kufa kabisa rasmi.

Nahisi hii ni habari njema kwetu wana Kops!

YNWA
 
alikuwa na groin baada ya ile game ya olympiacos, baadaye akaja kupata hamstring, but he's fine, nadhan hawatak kumRush kurudi, manake Reports zinazema Amekuwa ruled out kwenye game ya kesho kama precoutions tu, isije ikawa balaa zaid..

Na lallana anaweza kurud mapema kuliko ilivyotegemewa..

Achana kabisa na Dr Zaff, yule bwana anajitahidi sana..

Mkuu ,swali la Lucas,limejibiwa tayari anaeleke Napol Itary
 
Wakuu gemu ya leo tutafaidi make ipo mapema na supersport 3 wanairusha.
 
Na kama kuna yeyote anayejua MECHI YA NGAO YA HISANI NI MUDA GANU ATUJUZE WAKUU.
 
Back
Top Bottom