Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

.........mwingine hapa anajidai ni shabiki wa soka halafu kisa timu yake haijabeba UEFA Champions League, kila mwaka wakienda ni patupu, ameishia kuikandioa CL na kuliita ni kombe la tombola na halina maana! Seriously?????????????
Kama ni tombola kinachokufanya kila mwaka ugombee nafasi ya 4 kwenye EPL ni kitu gani?
No wonder Maurihno akasema Wenger ni specialist in failure

Wacha1 ni mfamaji
 
Last edited by a moderator:
.........mwingine hapa anajidai ni shabiki wa soka halafu kisa timu yake haijabeba UEFA Champions League, kila mwaka wakienda ni patupu, ameishia kuikandioa CL na kuliita ni kombe la tombola na halina maana! Seriously?????????????
Kama ni tombola kinachokufanya kila mwaka ugombee nafasi ya 4 kwenye EPL ni kitu gani?
No wonder Maurihno akasema Wenger ni specialist in failure

Hachana nao hao sisi LFC tumebeba makombe 60 all competionz wao 39 tu? sio level yetu hao.sisi level yetu madrid, barca na na man utd.
 
.....hahahahah, "sizitaki mbichi hizi....!"

....umeona ee?!....hebu iendelezeni thread bana,....

hahahahahaha! paziiiiiiiiii!......
anyway, mimi Mbu nasema hivii....kama mnataka niondoke basi naifuta hii thread!
semeni #Suuuuuu !!!!!.....

Am only Joking bana, mimi sio 'Dikteta,' msijeniona kama Nduli Idi Amin buree,
ushauri wa bure ninaowaomba, maana hali ishakuwa sio hali tena, nipeni mawazo kwa umoja wenu
mnataka nini kiboreshwe katika ile post ya kwanza?....#HatiMiliki ya marekebisho ninayo mimi, Invisible na Moderator
wa jukwaa la michezo tu, 🙂))

kila mmoja wenu atoe mawazo yake ASAP, maana jumamosi haipo mbali.

Hii timu ni ya historia tu hawana lolote khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msimu moja wameokota pipi basi wapo njiani wanafikiri zinamwagwa kama mvua ..... ..... .... mtakiona cha ntema kuni mwaka huu ....... ..... ... nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hv hyu dogo luis muriel wadau mnamzungziaje cz nmeanglia clip zke naona yuko poa sanaaa

Muriel is a Good player, we scouted him 2012/2013 na tulikuwa impressed, but alivyokuja kupata majeruhi, 2013/2014 haukuwa msimu mzuri kwake, *he flopped* ndo maana hata Colombia walimdrop kwenye kikosi chao cha World Cup..but he's still very young (23-24) bado ana mda mwingi wa kumprove pale udinese..

BR cooled the interest kwasababu perfomance yake last season ilikuwa mbovu..lakin ni mchezaj mzuri, type of ST that BR likes *VERSATILE* with a lot of skills and pace..lakini he did not perfome well last season, so LFC couldnt take that risk..
 
Hii timu ni ya historia tu hawana lolote khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msimu moja wameokota pipi basi wapo njiani wanafikiri zinamwagwa kama mvua ..... ..... .... mtakiona cha ntema kuni mwaka huu ....... ..... ... nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Karibu.
 
Attachments

  • 1408039210060.jpg
    1408039210060.jpg
    100.7 KB · Views: 76
Martin Kelly have signed for Crystal palace..

ALIJIUNGA NA LIVERPOOL AKIWA NA MIAKA SABA TU..now he's 24, injuries zimeharibu career yake LFC..but good luck to him at Palace..hope injuries wont hunt him anymore..
 
Attachments

  • 1408039438142.jpg
    1408039438142.jpg
    23.4 KB · Views: 65
Kwa nini unasema ilikuwa planned?

Barca wasingem-nunua yule mshenzi kama angekuwa afungiwe miezi minne kujishughulisha na mambo ya mpira kabisa..ingekuwa ni big blow na angeflop vibaya..
 
Hahahah!!

BR & STERLING
 
Attachments

  • 1408041380523.jpg
    1408041380523.jpg
    129.3 KB · Views: 70
Brotherman..
 
Attachments

  • 1408041786294.jpg
    1408041786294.jpg
    73.2 KB · Views: 75
Two little magicians
 
Attachments

  • 1408042190517.jpg
    1408042190517.jpg
    47.9 KB · Views: 86
Appeal ya Suarez CAS imesomwa leo, jamaa ameruhusiwa kufanya mazoezi na wenzake na kushiriki kwenye shughuli zote za club isipokuwa kushiriki kwenye official matches tu.

Ngoja tuone friend match yao ya tar18 na lyon kama watamchezesha.
 
Atsu huyo kaenda Everton, Anasema ana miaka 22 huyo..
 
Attachments

  • 1408042530151.jpg
    1408042530151.jpg
    72.8 KB · Views: 77
Back
Top Bottom