Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni mchezaji mzuri msimu uliopita aliifungia florence magoli 16 ktk mechi 21 alizocheza.hofu yangu ni kua jamaa hua anasumbuliwa na majeruhi ya goti mara kwa mara.bado hawezi kuziba pengo la suarez.

Hili ndo linatusumbua mawazoni mwetu kwa kuwaza wa kuziba pengo la Suarez!!!!!@Tores, kwa mfano alipoondoka mcmanaman liver nani aliziba pengo lake,alipoondoka Owen nani aliziba pengo lake ,alipoondoka Tores nani alizipa pengo lake.
Ikumbukwe Suarez alipokuja Liverpool akuja kuziba pengo au tegemezi, aliletwa kusaidiana na Tores,hapohapo Tores akasepa tukaaza kuangaika . Ya kuondoka Tores tukaangukia pua kutoka newcastle.
Kwa hiyo wadau,kumpata anayefanana na Suarez hakuna kwani kila mchezaji ni tofauti na mwenzake.
 
Sasa kama hii forum ni ya liverpool Fan nyie wengine wafanya nini humu.. tuacheni na team yetu...

Time will tell who a true fan and what is the best team..

Tunaangalia mbele sisi

.....hahahahah, "sizitaki mbichi hizi....!"

Biashara ya akina mbu tuachane nayo,Kitu kingine hiki

....umeona ee?!....hebu iendelezeni thread bana,....

True mkuu hata Mie sioni sababu ya kumpigia Kelele Mbu watu wameongea naye kistaarabu ila yeye kaamuwa aendelee Kuwa Sap Blatter au Captain wa LFC kwa mapenzi yake! Tuacheni kulalamika muhimu mnaweza hapa kuandika mengine basi Inatosha hata isingekuwepo hii alioanzisha au thred yoyote kuhusu LFC si mwisho wa Dunia, kuna sehemu kibao za kuandika zaidi ya hapo bado namuwekea heshima Kama Mbu! Endelea na kazi nzuri mkuu mapenzi yako ni ya kweli.

hahahahahaha! paziiiiiiiiii!......
anyway, mimi Mbu nasema hivii....kama mnataka niondoke basi naifuta hii thread!
semeni #Suuuuuu !!!!!.....

Am only Joking bana, mimi sio 'Dikteta,' msijeniona kama Nduli Idi Amin buree,
ushauri wa bure ninaowaomba, maana hali ishakuwa sio hali tena, nipeni mawazo kwa umoja wenu
mnataka nini kiboreshwe katika ile post ya kwanza?....#HatiMiliki ya marekebisho ninayo mimi, Invisible na Moderator
wa jukwaa la michezo tu, 🙂))

kila mmoja wenu atoe mawazo yake ASAP, maana jumamosi haipo mbali.
 
Last edited by a moderator:
Kijana akiwasili kukamilisha vipimo
Melwood
 

Attachments

  • 1408016620929.jpg
    1408016620929.jpg
    43.8 KB · Views: 81
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hizi zimepigwa leo, yupo Melwood, anapigwa picha za kuandaliwa katika kutambulishwa zile..
Siku hizi hakuna siri ndomana hata Usajili unakuwa mgumu jamaa anapiga picha chini ya muembe! Watu washamfotoa na Camera phone!
 
Lallana amaeaza training leo...
 

Attachments

  • 1408026904423.jpg
    1408026904423.jpg
    68.5 KB · Views: 84
Appeal ya Suarez CAS imesomwa leo, jamaa ameruhusiwa kufanya mazoezi na wenzake na kushiriki kwenye shughuli zote za club isipokuwa kushiriki kwenye official matches tu.
 
Appeal ya Suarez CAS imesomwa leo, jamaa ameruhusiwa kufanya mazoezi na wenzake na kushiriki kwenye shughuli zote za club isipokuwa kushiriki kwenye official matches tu.

Barcelona and FIFA planned it All!!!!
 
.........mwingine hapa anajidai ni shabiki wa soka halafu kisa timu yake haijabeba UEFA Champions League, kila mwaka wakienda ni patupu, ameishia kuikandia na kuibeza CL na kuliita eti ni kombe la tombola na halina maana! Seriously?????????????
Kama ni tombola kinachokufanya kila mwaka ugombee nafasi ya 4 kwenye EPL ni kitu gani?
No wonder Maurihno akasema Wenger ni specialist in failure
 
Back
Top Bottom