Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Ni mchezaji mzuri msimu uliopita aliifungia florence magoli 16 ktk mechi 21 alizocheza.hofu yangu ni kua jamaa hua anasumbuliwa na majeruhi ya goti mara kwa mara.bado hawezi kuziba pengo la suarez.
Hili ndo linatusumbua mawazoni mwetu kwa kuwaza wa kuziba pengo la Suarez!!!!!@Tores, kwa mfano alipoondoka mcmanaman liver nani aliziba pengo lake,alipoondoka Owen nani aliziba pengo lake ,alipoondoka Tores nani alizipa pengo lake.
Ikumbukwe Suarez alipokuja Liverpool akuja kuziba pengo au tegemezi, aliletwa kusaidiana na Tores,hapohapo Tores akasepa tukaaza kuangaika . Ya kuondoka Tores tukaangukia pua kutoka newcastle.
Kwa hiyo wadau,kumpata anayefanana na Suarez hakuna kwani kila mchezaji ni tofauti na mwenzake.