The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
.........mwingine hapa anajidai ni shabiki wa soka halafu kisa timu yake haijabeba UEFA Champions League, kila mwaka wakienda ni patupu, ameishia kuikandioa CL na kuliita ni kombe la tombola na halina maana! Seriously?????????????
Kama ni tombola kinachokufanya kila mwaka ugombee nafasi ya 4 kwenye EPL ni kitu gani?
No wonder Maurihno akasema Wenger ni specialist in failure

.....hahahahah, "sizitaki mbichi hizi....!"
....umeona ee?!....hebu iendelezeni thread bana,....
hahahahahaha! paziiiiiiiiii!......
anyway, mimi Mbu nasema hivii....kama mnataka niondoke basi naifuta hii thread!
semeni #Suuuuuu !!!!!.....
Am only Joking bana, mimi sio 'Dikteta,' msijeniona kama Nduli Idi Amin buree,
ushauri wa bure ninaowaomba, maana hali ishakuwa sio hali tena, nipeni mawazo kwa umoja wenu
mnataka nini kiboreshwe katika ile post ya kwanza?....#HatiMiliki ya marekebisho ninayo mimi, Invisible na Moderator
wa jukwaa la michezo tu, 🙂))
kila mmoja wenu atoe mawazo yake ASAP, maana jumamosi haipo mbali.
Hv hyu dogo luis muriel wadau mnamzungziaje cz nmeanglia clip zke naona yuko poa sanaaa
Hii timu ni ya historia tu hawana lolote khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msimu moja wameokota pipi basi wapo njiani wanafikiri zinamwagwa kama mvua ..... ..... .... mtakiona cha ntema kuni mwaka huu ....... ..... ... nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa nini unasema ilikuwa planned?
Hahahah!!
BR & STERLING
Hahahahaha! Inapendeza sana iyo BR anamkubali huyo dogo the next lionel messi.
Utamwambia nini BR kwa Sterling..
Appeal ya Suarez CAS imesomwa leo, jamaa ameruhusiwa kufanya mazoezi na wenzake na kushiriki kwenye shughuli zote za club isipokuwa kushiriki kwenye official matches tu.
Alikuwa majeruhi yule..kapona sahiv, yupo na.Under-21 Australia. The Magnificent
Two little magicians