Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ebola ugonjwa hatari unaoenea kwa kasi.dalili zake ni homa kali,maumivu ya kichwa na kutokwa damu sehemu za wazi.
 
Oyo naona kikosi kimekamilika..tukipata striker fresh tu, tusipopata bado nadhani tunaweza chukua ubingwa.

Sema nina swali, kati ya Markovic au Lallana, nani unaona aanze? Mimi nipo kwa Lallana sana sana.

Manquilo/Flanagan pia nani aanze?
 
Msimu huu utakuwa mgumu sana...hasa kwetu tuliyempoteza super striker! Yani tukizingua kidogo tu,top4 hatuioni wala nini!
No, have faith. People dont understand, it wasnt the player who made Liverpool great last season like Bale did to Spurs, it was the system. The attacking diamond formation and the 4-3-3 were all designed to have a fully fledged attack formation and Suarez profited from that. Sasa, saa hivi Suarez kaondoka ina maanisha kuwa kama ukiangalia BR buys, utaona anataka kutegemea more creativity kwenye Midfield kuliko more individual brilliance and the system will be the same meaning players like Coutinho, Sterling, Sturridge will have more control and more input in the squad because they will be "liberated" from Suarez sale.

Mimi naona we have one of the most pacy, fluid and attack minded team in the EPL. Kocha wengine wakiangalia team hii wanaogopa maana tuna more creativity than last season. Tunaweza cheza kama Dortmund na kukimbiza team pinzani, tunaweza cheza pass, tunaweza cheza counter-attacking. Tulia uone kesho.
 

Mkuu huko sahihi,Leo nimesoma comment Za Mcmanaman juu ya usajiri wa mwaka huu kausifia sana. Hivi amujui Countinho anaweza kuwa kama Messi wa Baca???,kama kocha amesema yeye alimtengeneza Suarez,iweje ashindwe kutengeneza mwingine,.Subirini mechi ya kesho kutwa mtu anaweza kubwa sita(6)
 
Oyo naona kikosi kimekamilika..tukipata striker fresh tu, tusipopata bado nadhani tunaweza chukua ubingwa.

Sema nina swali, kati ya Markovic au Lallana, nani unaona aanze? Mimi nipo kwa Lallana sana sana.

Manquilo/Flanagan pia nani aanze?

Mkuu Full Moon striker ni muhimu tena wa kiwango kinachoeleweka…kutokana na system ya sasa sioni uwezekano wa Cavani wala Falcao…probably Lavezzi.

Kwa marko na Lalla wote wanaweza kuanza kwasababu BR anaweza kuwatumia kwa nafasi tofauti. Marko anaweza kucheza wing ama ST. Lalla anaweza kucheza wing ama namba 10

I think kabla sijampanga kati ya Manq/Flano kwanza nitaangalia timu pinzani wanacheza mpira wa aina gani na kama tuko home au away. I might decided to go defensive while playing against Manshit at Etihad and for that I will go for Flano. I will go Manq if plays Arsenal at Anfield
 
James pearce amesema kua moreno hatoweza kucheza mechi ya fungua dimba zidi ya soton maana fomu za usajili zimeshelewa kuandikishwa kwa wakati.
 
Siyo ukosefu wa subira ila kuna hii kitu haijakaa vizuri…hivi kuna mtu mwenye habari kamili kama Moreno ameisha mwaga wino?

I have been waiting to see official photos of him holding pen and paper…

Wakuu, lisije likatokea zingaombwe kama la willian…
 
Liverpool Football Club na Southampton ni Jumapili! Kuhusu Atsu Kuwa miaka 22 namuachia yeye na familia yake anaweza kweli 22yrs Old Kuwa unajuwa wanadamu tumeumbwa tofauti kisura na maumbile japo kuna wanaopenda kuibadilisha maumbile bila Kuwa mgonjwa ila muelekeo unaweza mwengine kuonekana mzee au kulitakia uzee kwa makemikali ya kujipaka mwilini ila Atsu anaweza Kuwa 22yrs tatizo linakuja nchi ambazo kidogo maendeleo wanaongopa age za kuzaliwa wapate Kibali tizama Robben angekuwa from Africa au Black watu wangesema ni 50yrs old Mie hata Etoo naamini ni 32yrs old kwa machoni mwangu ila Kimpira Etoo si tena wa kuchezea LFC! Haya mambo ya umri yana mitihani ila wazungu wangejiuliza kwanini hawa wa Africa wanaosema ni 40yrs old ila ni 20yrs old wanacheza mpira mpaka 50yrs old Yao ila wao wazungu Weupe wanaishia kuisha mpira kwenye umri wa miaka 30?.
 
Luis Suarez Kuhusu Luis Suarez Mie nitapenda Kama FIFA Ikamuachia afanye mazoezi na Barca akafungiwa. Barca game 4 tu ila timu ya Taifa ndio afungiwe Ban Refu sababu ukweli tuongee hii nachoongea ni haki ambayo angekuwa LFC au Barca au timu yoyote, kuhusu Ban ilibidi iwe Hivyo so sibadilishi muonekano hata Kama hayupo LFC ila ukweli watu wa Ban walikuwa wanapenda kuiazibu LFC zaidi, kwenye suala Hilo ndomana hata ile mishabiki iliokuwa inshadadia Luis Suarez apigwe Ban training mpaka Miezi 4 hata Club Leo wamekaa kimya, Sasa hivi hata Luis Suarez akipunguziwa Game ban ziwe 4 tu Club na Timu ya Taifa hutowaona kulalamika tena kuonyesha wao ilikuwa Hamu Yao wasimuone kuchezea LFC au Kuwa England angeenda timu zao wangefanya Kama Barca japo Spain Mie sio Barca sana ni Madrid kuliko Barca ila kwahili Luis Suarez Ban alionewa ifanywe Ban inayotakiwa Fair FIFA walikuwa wrong ila upendeleo wanao.
 
Liverpool Football Club Lineup Jumapili nafikiri itakuwa hivi: Mignolet, Manquillo, Skertel, Lovren, Johnson, Katikati Henderson, Steven Gerrad, Can, Coutinho Mbele Raheem na Sturidge. LFC YNWA!
 
Moreno ametrain na team leo, lakini si kuna.some paperwork hazijakamilika???
 

Attachments

  • 1408117776034.jpg
    61.4 KB · Views: 108
  • 1408117790677.jpg
    95.7 KB · Views: 104
Mkuu Pazi, salama?! Mi msimu huu sina presha kabisa... Liwalo na liwe! YNWA.
Salama nashukuru mungu! YNWA! alberto moreno hatocheza sababu hawakukamilisha karatasi mapema kwa yeye kucheza Sunday ila nilisikia Kama zingefika Leo sijui saa ngapi na wapi anauwezo wa kucheza Jumapili natumai tushinde 3-0 Jumapili.
 
Alberto Moreno karatasi Kumbe nimemsikia jamaa Skysports news Kasema LFC ingekuwa inacheza Jumatatu angeweza kucheza.
 
What a Happy man!!!!!!

 

Attachments

  • 1408122172524.jpg
    108.1 KB · Views: 209
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…