Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Y'all ready for sunday??????
 
Attachments

  • 1408126694478.jpg
    1408126694478.jpg
    92.9 KB · Views: 93
LUCAS bhana utafikiri ana miaka 40 vile, kumbe 27, asa ndo kavaaje hapo!!!..ndo maana Likizo zake zote huwa anashinda shambani kwake Brazil huko!!!

Hahhhahaha..na Bwana Borini hapo!!!!..
 
Attachments

  • 1408126986267.jpg
    1408126986267.jpg
    100.2 KB · Views: 93
Little Phill be like *am playing along side with your role model SG, so what the f*k you want son???*
 
Attachments

  • 1408127444820.jpg
    1408127444820.jpg
    36.7 KB · Views: 91
The only one left.
 
Attachments

  • 1408127538466.jpg
    1408127538466.jpg
    65.1 KB · Views: 87
LAZAR kaweka Simu kwenye Soksi!!!!!

Hahahahah!!!! Ndo maana BR anataka mzee Kolo abaki, mana matoziii ni wengi sana kwenye Dressing rooms...hahahah

#BANTER
 
Attachments

  • 1408128769329.jpg
    1408128769329.jpg
    70.3 KB · Views: 93
Ktk kipindi cha sport bar,shafii dauda kasema ha2pi nafasi ya kuwa top4 coz 2na mashndno meng na 2tajikita sana kwny eufa championshp.bt namhakikishia kwa usajili huu lvpol 2tawashangaza sana mwaka huu lazima 2tachukua ndoo ya EPL au kuwa top 2!
 
Mpaka umefikia kuwasikiliza hao kina Shafii dauda, utakuwa umeishiwa sana vitu vya kufanya..na hata kama ulikuwa huna kitu cha kufanya bora ungelala tu mkuu kuliko kuwaangalia *bongo pundits* hao, they're full of SHIT..

LFC wanahitaji a TOP ST tu kusimama pale when Danny akiwa injured ili kuendeleza Ubabe..

We have a lot of option right now, pamoja na kikosi chote tulichonacho sahiv, lakin u cant believe kuwa Agger, Lallana, Markovic na Flannagan wapo nje injured (that shows tuna depth kubwa sana ya kikosi)..na asikwambie mtu kushinda kombe inategemea depth ya kikosi..last season hatukuwa na option zozote zile..

Huyo shafii anazunguka goal.com na talksport.com na anaangalia polls za skysports, naye anajifanya anakuja kuchambua kuhusu Top4 akiwa ameshacopy mawazo ya pundits wa UK..

U cant write a team off, kabla hata haijaingia uwanjani.
 
Shafii ni Manure damu,
 
Ktk kipindi cha sport bar,shafii dauda kasema ha2pi nafasi ya kuwa top4 coz 2na mashndno meng na 2tajikita sana kwny eufa championshp.bt namhakikishia kwa usajili huu lvpol 2tawashangaza sana mwaka huu lazima 2tachukua ndoo ya EPL au kuwa top 2!

Acha kuwasikiliza hao was*nge,kwani msimu ulopita walisemaje!? Kikatokea nini?
 
BT Sports natizama naona Robbie Savage Kasema 1st Chelsea2,City3,Arsenal4,liverpoolfc. Ian Wright Kasema 1st Chelsea,City,Arsenal,Liverpool na David James Kasema 1st Liverpoolfc 2,Chelsea 3,City 4,Arsenal na 5, Kasema Totenham au United! Kuhusu Liverpoolfc Kasema sababu ya Liverpoolfc kukosa ubingwa ni timu kucheza hao hao kila game akasema Suarez kuondoka sio tatizo sana sababu sasa hivi watagawanya mpira kirahisi zaidi ila Striker muhimu akasema timu ambayo zaidi ya Liverpoolfc kuchukuwa ni Chelsea tu hayo maoni yake Mie yangu sio kutojiamini najiamini Ana point kwenye sehemu ya Suarez sababu hakuna atayekuwa Kama Suarez itachukuwa muda ila timu itafanya vizuri kwa Ubingwa sizani ila Top 4 tutakuwepo.
 
Haya haya mkuu Pazi ni salaama mkuu!? EPL Marathon ndiyo hiyooo imewadiaa.
Sasa tuonane sehemu zote husika iwe Anfield, OT, Emirates, Etihad, Stanford, kokote kule hata Britania, Villa Park, liberty stadium au White hart lane, kote huko na kwingineko ni maeneo ambayo mbio hizi zitapita.
#Tukutane huko mkuu.
 
Last edited by a moderator:
BT Sports natizama naona Robbie Savage Kasema 1st Chelsea2,City3,Arsenal4,liverpoolfc. Ian Wright Kasema 1st Chelsea,City,Arsenal,Liverpool na David James Kasema 1st Liverpoolfc 2,Chelsea 3,City 4,Arsenal na 5, Kasema Totenham au United! Kuhusu Liverpoolfc Kasema sababu ya Liverpoolfc kukosa ubingwa ni timu kucheza hao hao kila game akasema Suarez kuondoka sio tatizo sana sababu sasa hivi watagawanya mpira kirahisi zaidi ila Striker muhimu akasema timu ambayo zaidi ya Liverpoolfc kuchukuwa ni Chelsea tu hayo maoni yake Mie yangu sio kutojiamini najiamini Ana point kwenye sehemu ya Suarez sababu hakuna atayekuwa Kama Suarez itachukuwa muda ila timu itafanya vizuri kwa Ubingwa sizani ila Top 4 tutakuwepo.

The difference is:

At LFC, last season, BR alikuwa anaelekeza kuwa, kila ukipata mpira Hakikikisha unafika kwa Suarez.

At Barcelona, ni kwamba kila ukipata mpira Hakikisha unafika kwa Messi.

Ndo maana Suarez alishine last season na ndo Maana Messi anashine kila siku Barca..

nakubaliana na Mawazo ya David James.
 
Mnyukano utakuwa mkali sana mwaka pale kileleni ktk top 4...ni IMANI yangu kuwa LFC atakuwepo ktk top 4 pamoja na kuwa tutakuwa na mechi za J4/J5 za CL!

Kwa depth iliyopo sina shaka kabisa kuwa tutafanya vizuri...ila kama wadau wanavyoshauri ni MUHIMU kuongeza striker mmoja matata pale mbele.

Laiti kama Origi asingekopeshwa...kwa maoni yangu dogo angefaa tu kusaidiana na Danny!

YNWA.
 
Back
Top Bottom