Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk kipindi cha sport bar,shafii dauda kasema ha2pi nafasi ya kuwa top4 coz 2na mashndno meng na 2tajikita sana kwny eufa championshp.bt namhakikishia kwa usajili huu lvpol 2tawashangaza sana mwaka huu lazima 2tachukua ndoo ya EPL au kuwa top 2!
Mpaka umefikia kuwasikiliza hao kina Shafii dauda, utakuwa umeishiwa sana vitu vya kufanya..na hata kama ulikuwa huna kitu cha kufanya bora ungelala tu mkuu kuliko kuwaangalia *bongo pundits* hao, they're full of SHIT..
LFC wanahitaji a TOP ST tu kusimama pale when Danny akiwa injured ili kuendeleza Ubabe..
We have a lot of option right now, pamoja na kikosi chote tulichonacho sahiv, lakin u cant believe kuwa Agger, Lallana, Markovic na Flannagan wapo nje injured (that shows tuna depth kubwa sana ya kikosi)..na asikwambie mtu kushinda kombe inategemea depth ya kikosi..last season hatukuwa na option zozote zile..
Huyo shafii anazunguka goal.com na talksport.com na anaangalia polls za skysports, naye anajifanya anakuja kuchambua kuhusu Top4 akiwa ameshacopy mawazo ya pundits wa UK..
U cant write a team off, kabla hata haijaingia uwanjani.
Ktk kipindi cha sport bar,shafii dauda kasema ha2pi nafasi ya kuwa top4 coz 2na mashndno meng na 2tajikita sana kwny eufa championshp.bt namhakikishia kwa usajili huu lvpol 2tawashangaza sana mwaka huu lazima 2tachukua ndoo ya EPL au kuwa top 2!
BT Sports natizama naona Robbie Savage Kasema 1st Chelsea2,City3,Arsenal4,liverpoolfc. Ian Wright Kasema 1st Chelsea,City,Arsenal,Liverpool na David James Kasema 1st Liverpoolfc 2,Chelsea 3,City 4,Arsenal na 5, Kasema Totenham au United! Kuhusu Liverpoolfc Kasema sababu ya Liverpoolfc kukosa ubingwa ni timu kucheza hao hao kila game akasema Suarez kuondoka sio tatizo sana sababu sasa hivi watagawanya mpira kirahisi zaidi ila Striker muhimu akasema timu ambayo zaidi ya Liverpoolfc kuchukuwa ni Chelsea tu hayo maoni yake Mie yangu sio kutojiamini najiamini Ana point kwenye sehemu ya Suarez sababu hakuna atayekuwa Kama Suarez itachukuwa muda ila timu itafanya vizuri kwa Ubingwa sizani ila Top 4 tutakuwepo.