Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

alberto moreno kashatangazwa rasmi www,liverpoolfc,com lfc ynwa! Game ijayo atacheza kwenye majaliwa ya kuwa hai.

moreno.
 

Attachments

  • 1408212754450.jpg
    75.3 KB · Views: 75
He said this..
 

Attachments

  • 1408212947300.jpg
    51 KB · Views: 98
Waje tuwapige 3-0 kesho tujitaharishe wageni wataojaa Humu watachungulie kwa uchungu kesho LFC tu napiga mtu 3-0.

Hapo ndo patakuwa patamu...afu tunakaa kileleni with a clean sheet!

YNWA.
 

Blac kid ameshakujibu.....amemaliza ......sina cha ziada cha kuongeza ktk hili.
 
Me mpk ss swala la forward linanipasua kichwaa cjui at tha end tutasajili nani.....n hii biashara tnayoona ipo njian n ya Falcao bd cjaielewa vzur
 
Mkuu umekuwa biased kwenye assesment yako.Kwanza, unaposema BR hana mbinu ya kubadili matokeo ya mechi tulizozidiwa unazo takwimu za mechi tulizotanguliafungwa tukajashinda? unakumbuka tactic zilizotumika kwenye mechi nne za mwanzo mwa msimu? mfano gemu ya villa na stoke? Pili, kuhusu mabadiliko hata wewe ungekuwa kwenye lile bench ungepata shida hiyo hiyo. Timu haikuwa na depth hata kidogo, akiwepo suarez na sturridge ndani sub ni aspas na moses, unafanyaje hapo?
 
Hujui kabisa unachosema... Br changes tactics anavyotaka na kwa smoothness ya ajabu

I think hujii unachoongea
 

Au umefunga 3 halafu unapigwa 2 za fastafasta, unaona kabisa dakika zmebaki chache na defenders wameelemewa, sub yupo tuore unaona ngoja nitoe striker au attackng midfielder mmoja niweke beki akaongeze nguvu backline ulinde hako kagoli kamoja, cha ajabu huyo beki uliyemweka ndo anakufunga, full tym kibao kinasoma draw ya 3 kwa 3. Hahahahahahahaha!
 

teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…