Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapa tatizo Middle Leo zimechemsha haziwachezeshi Mbele na zitasababisha nyuma beki zichoke
 
Hawa liverpool kwa mpira huu wataishia kuwa kama man utd ..mxxxx
 
Kinacho tocost ap hawachezi kwaajili ya tim wanacheza kutaka umaalufu
 
Tatizo ni lile lile la mwaka jana,kipindi cha kwanza tunacheza vyema tunafifia kipindi cha pili
 
Shane Long atatukimbiza sasa nimeanza kuona sio nje ya top 4
 
Hapa tatizo Middle Leo zimechemsha haziwachezeshi Mbele na zitasababisha nyuma beki zichoke

Kweli Middle zenu zimechemsha kipindi cha pili. Naona South wanapata mipira kiurahisi katikati. Kibanter zaidi Wachezaji 12 mliowasajili mwezi uliopita wanafanya nini sasa? LOL
 
Middle za LFc ndio zinawacha watu wapate mpira LFC tunatakiwa tutulie na mpira Don't Panic
 
Kwenu kutakuwa na #WakaangaSumu wengi kila mechi, Mlizidi kuchonga enzi za SAF. Muda wenu kuwa mnatazama juu. Liverpool wasipoangalia wanaweza kupigwa ubaya leo

Yote ya yote BPL tumecheza mechi moja tuu japo tumepoteza ila sijaona timu inayotishia kwamba haifungiki kwa mechi zote nlizozitazama... Najua hata hii unaifuatilia na unaelewa nachokiongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…