Middle za LFc ndio zinawacha watu wapate mpira LFC tunatakiwa tutulie na mpira Don't Panic
Middle imeanza kufanya kazi
Da tunashambuliwa sana.sina raha tena presha imepanda.
Daaah sikutegemea Southampton kuleta ushindani kama huu kwa kweli
FT
LIV 2 - 1 SOU
Southampton wamecheza vizuri sana ila bahati haikuwa yao..
Japo Hakuna timu mtoto kwenye BPL ila hii scoreline bado haioneshi makucha mliyonayo japo mmepata hizo 3pts
Daaah sikutegemea Southampton kuleta ushindani kama huu kwa kweli
Yote ya yote BPL tumecheza mechi moja tuu japo tumepoteza ila sijaona timu inayotishia kwamba haifungiki kwa mechi zote nlizozitazama... Najua hata hii unaifuatilia na unaelewa nachokiongelea