bado..
Balo kaanza mazoezi
Starting IX yangu ya leo hii hapa. Man City lazima tumzuie
YEAH..i saw that!!!! Umetishaaaaaaa!
Kama leo tutashinda, pamoja na point 3, tutakazopata, pia kiakili tutakuwa tumejiwekea mazingira mazuri. Unaposhinda unataka kuendelea kushinda na kushinda na kushinda na kushinda!
Hii game itakuwa ngumu mimi naipa 50/50
I like this boy very much... na atataka sana kuwa-prove wrong haters wake and in so doing he will perform sana!
YNWA.
View attachment 180224baloteliiiii
Sista atakuwa memba ila ngumu kufaham coz tunatumia feki ids. Usajil uko poa kabisa na itakuwa shwari zaidi zile tabia zake akijirekebisha.