More updates nazingoia,naogopa kukabwa usiku huu kwenda kwenye vibanda umiza.
Taarifa zije kwa umakini jamani maana presha ni kubwa kwa upande wangu.
Liverpool,Liverpool,Liverpool,Liverpool......
"Nlikuwepo":bolt:
Najua tuko poa wala siihofii man city,ila nataka kusikia magoli ndugu...usitie shaka mkuu bado tupo vizur, 0-0 dk34
kuna majamaa nawaona wanachungulia wanakimbia, jamani jitokezeni tu mbona timu zenu zikicheza sisi huwa tunatokea?