Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mkikosa maneno kumbe huwa mnaimba eeh??
 
jovetic vs liverfools ..........
hahahhahahha

Grand PA
 

....maumivu ya kichwa huanza pole pole!....


#MosKwito !
 
Jamani mbona mnakuwa kimya kutoa updates na kuwaacha wapinzani wajigambe hapa...
Mbona bado game hilo,daah...
ni bora kumbe ningeenda kuangalia mwenyewe,maana naona wenzangu mnataka kukimbilia juu ya dari. Tuondoe hofu ndio kwanza game ya pili.
Liverpool milele..

"Nlikuwepo":bolt:
 

Hahahahha! ....wenzako watakupiga wewe!


#MosKwito !
 
68
MCI 3-0 LIV

'Manchester City endeleeni kuwafanya hawa raia humu wanuke midomo maana kelele zao zishazidi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…