Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pamoja na kufungwa, bado nauona hii ni timu ya ushindani, na inabidi tuhangaike na kina Man U, Swansea, na vitimu vya chini.

Hawa tutawasubiri wakija Anfield; Mtu kwao.

Dahhhh, hahaha....yaani leo hii ManU mshaiweka kundi la "vitimu vya chini?"

Ngoja wenyewe kina Nzi, Belo, na wenziwao wakusome hapa.

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Hawa mapacha wa Liver naona leo wamekuwa butu....Huwezi kujua kasi ya Sterling na Sturridge imeenda wapi....
 
dah nimetulia kuangalia mpira bila kuja Jamiiforum ila sasa duh nimebaki Naomba dua dk 90 ifike na hivi naumwa Homa sasa itazidi doh plz God kwa Leo zipeleke dk upesi Inatosha!

......pole kaka!

#MosKwito !
 
Tuangalie game ijayo tukiwa na Sper Mario,nadhani tutafanya makubwa sana kufidia hizi goli tatu kimya.
magoli mengi zaidi na endapo tukiruhusu magoli basi yawe machache sana.
YNWA,YNWA...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Dahhhh, hahaha....yaani leo hii ManU mshaiweka kundi la "vitimu vya chini?"

Ngoja wenyewe kina Nzi, Belo, na wenziwao wakusome hapa.

#MosKwito !

Man U inatia huruma sana....Itabidi warudi machimboni kwa kipindi kirefu sana

Ndiyo tabia ya historia mkuu.....Watatakiwa kufufuka na kuanza upya kama Liver!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Angalau Lambert Ana goli sawa na Rooney hehehehe ila bado Naomba uishe tu mpira.
 
Tuangalie game ijayo tukiwa na Sper Mario,nadhani tutafanya makubwa sana kufidia hizi goli tatu kimya.
magoli mengi zaidi na endapo tukiruhusu magoli basi yawe machache sana.
YNWA,YNWA...

"Nlikuwepo":bolt:

Baloteli anacheza beki? Defence yenu haina tofauti na ya Man United ile game na Saints defence yenu ilikuwa mbovu sana
 
Man U inatia huruma sana....Itabidi warudi machimboni kwa kipindi kirefu sana

Ndiyo tabia ya historia mkuu.....Watatakiwa kufufuka na kuanza upya kama Liver!!

Ushabiki mwingine hauna maana , liver anamiaka 24 tangu abebe kombe hili Man U ni mwaka jana tu ndio hakulibeba, jaribu kuwa mnabalance
 
Back
Top Bottom