Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah ngoma imegoma kabisa leo... Lakini msijali maisha yanaendelea. Tutajirekebisha na kuja kivingine... YNWA.
 
Vizuri kama tunajua kupunguza na idadi ya magoli.
Liverpool tu hapa,iwe tumefungwa...Kushinda ama tumetoa suluhu...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wamejifunga kwahiyo Lambert sio goli sawa na Rooney football bwana ukifungwa utaichukia siku, hawa walioingia baadae angalau naona sasa hivi tunaaanguka tu mpira uishe Ballotelli aende kutoboa mataiti ya Manager wake Rogers hehehe ndio kilichobaki.
 
Kwa mtu anayeingalia ligi ya Uingereza anajua ligi mwaka huu itakuwa ngumu maana hata zile mbwembwe za Asernal za kuanza ligi kwa kishindo hazipo, timu Nyingi hata zikishinda ni baada ya kufanya kazi za ziada tena kipindi cha lala salama tofauti misimu iliyopita , liver kufungwa stil is nt a big deal kwasasa
 
Liverhampton mmeamua kuumia tuu majeruhi kadri dakika zinavyoenda
 
Moreno atakuwa out 6weeks ameugeuza mguu Huyu wamtoe tu dk 5 hizi wametaka kutupa ila bora angemaliza tu refa atakuja kuvunja mguu tu.
 
Doh majeruhi 3 ktk mechi moja afu bado kuna dakika 5 mpira uishe . Poleni
 
Ushabiki mwingine hauna maana , liver anamiaka 24 tangu abebe kombe hili Man U ni mwaka jana tu ndio hakulibeba, jaribu kuwa mnabalance

Mimi siongei kwa sababu ya ushabiki ila kwa sababu naamini kuwa lazima Man wangefika kilele cha mafanikio na kutakiwa kuanza upya.

Kama unadhani kuwa naongea kwa sababu ya kuwachukia Man U basi tusubiri tuone!
 
Mimi siongei kwa sababu ya ushabiki ila kwa sababu naamini kuwa lazima Man wangefika kilele cha mafanikio na kutakiwa kuanza upya.

Kama unadhani kuwa naongea kwa sababu ya kuwachukia Man U basi tusubiri tuone!

....swahiba taratibu, watakupiga bure hawa, wanauchungu wenzio....#TruthHurts !


#MosKwito !
 
Back
Top Bottom