F.c.mwanzi
Member
- Apr 1, 2013
- 65
- 17
Angalau Lambert Ana goli sawa na Rooney hehehehe ila bado Naomba uishe tu mpira.
Angalau Lambert Ana goli sawa na Rooney hehehehe ila bado Naomba uishe tu mpira.
Ushabiki mwingine hauna maana , liver anamiaka 24 tangu abebe kombe hili Man U ni mwaka jana tu ndio hakulibeba, jaribu kuwa mnabalance
Dah ngoma imegoma kabisa leo... Lakini msijali maisha yanaendelea. Tutajirekebisha na kuja kivingine... YNWA.
Mimi siongei kwa sababu ya ushabiki ila kwa sababu naamini kuwa lazima Man wangefika kilele cha mafanikio na kutakiwa kuanza upya.
Kama unadhani kuwa naongea kwa sababu ya kuwachukia Man U basi tusubiri tuone!