Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

we c ulifungwa na swansea tena pale O.T? Haya,funga bakuli hilo

Tatizo liko wapi, Swansea sio timu?? haichezi EPL??

Mmeshindwa mpaka wakaamua kuliweka wao wenyewe....

'Mmepigwa' kubali hiyo 3-1

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna vipofu wanadai The Reds hatupo humu! Kwa nini watu wanapenda kukariri hivi?! Tupo na tutaendelea kuwepo. YNWA.
 
goli la 4 kafunga nani kama sio mMan City? unajua football wewe? nenda kacheze BEDBALL ulale, muda umewadia---hilo ndio unalijua wewe. Mambo ya FOOTBALL waachie wenyewe.

Kwa hiyo ndo inakuwa 4-0 punguza viroba dogo.
 
We lost the game by 3 -1.!that is it.Let's get ready for spurs game
 
England - Premier League

FTManchester City
3 - 1
Liverpool

S. Jovetić
41 '1 - 0

S. Jovetić
55' 2 - 0

S. Agüero
69' 3 - 0

3 - 1
83' P. Zabaleta
(OG)
 
Ni desturi yetu waafrika kwenda kutoa pole kwa wafiwa,huu utaratibu haujaanza leo

Inaelekea ndo kilichobaki siku hizi. Watu tunavizia vifo vitokee kwa wengine ndo tutoe pole. kifo kikitokea kwetu, nyumba zinakimbiwa
 
Liverpool FC mwaka huu timu ni nzuri sana...kupoteza leo ndo itakuwa changamoto ya kufanya vizuri game zijazo.

Next weekend pale Anfield patachimbika sana...Spurs itabidi akae tu.
 
Liverpool FC mwaka huu timu ni nzuri sana...kupoteza leo ndo itakuwa changamoto ya kufanya vizuri game zijazo.

Next weekend pale Anfield patachimbika sana...Spurs itabidi akae tu.
spurs wapo vizuri sana so itakua bonge la game.
 
ok,si mbaya timu imeonesha uhai mkubwa sana,man city wanavotembea timu kama man u na arsenal wangekula kuanzia goli 5,Liverpool tutawashika sana bado kidogo tu
 
ok,si mbaya timu imeonesha uhai mkubwa sana,man city wanavotembea timu kama man u na arsenal wangekula kuanzia goli 5,Liverpool tutawashika sana bado kidogo tu

nimeipenda sab alioifanya ila Lambert amefanya uzembe
 
Back
Top Bottom