we c ulifungwa na swansea tena pale O.T? Haya,funga bakuli hilo
Khe khe khe kheeeeeee khe m2tuachie top 4 ye2 na ss mwakan 2cheze ucl
goli la 4 kafunga nani kama sio mMan City? unajua football wewe? nenda kacheze BEDBALL ulale, muda umewadia---hilo ndio unalijua wewe. Mambo ya FOOTBALL waachie wenyewe.
Timu inaonyesha uhai tumekutana na timu bora hakuna tatizo yeyote atakayekatiza hatotoka salama tunaanza na totenham
Tim zitatukamia sanaaa zikihofia kichapo chafasta
Ni desturi yetu waafrika kwenda kutoa pole kwa wafiwa,huu utaratibu haujaanza leo
Nasi tutakaza mpaka kieleweke, tuko pamaoja ynwa.
spurs wapo vizuri sana so itakua bonge la game.Liverpool FC mwaka huu timu ni nzuri sana...kupoteza leo ndo itakuwa changamoto ya kufanya vizuri game zijazo.
Next weekend pale Anfield patachimbika sana...Spurs itabidi akae tu.
ok,si mbaya timu imeonesha uhai mkubwa sana,man city wanavotembea timu kama man u na arsenal wangekula kuanzia goli 5,Liverpool tutawashika sana bado kidogo tu
We lost the game by 3 -1.!that is it.Let's get ready for spurs game