Na ukumbuke msimu uliopita hizi timu ndogo ndio zilimpa Chelski shida sana.
Kumbuka ndio timu pekee ambayo Man city ilishindwa kuifunga....
Wakiweza kuzifunga timu ndogo msimu huu nadhani hizi ''big four' teams hazitawapa tabu sana..!
I'm an #arsenalFan though..!
but from the CHELSEA FAN..
jana jamaa Man city waliwazidi mbinu kwenye kiungo; jambo hili hata wewe mkuu Mosdef ulionyesha hofu yake hata kabla ya mechi.
kiungo chao kimekuwa imara sana baada ya yule kijana waliyemsajili FERNANDO.R. anavaa # 6. yule dogo anajua kukaba na kupunguza nguvu ya wapinzani; hivyo YAYA anakuwa free kufanya mambo yake; waliwasukumu sana kwenye goli lenu...muda mwingi wa mchezo;..
kama ulivyosema mpira ni 1.Kushinda.2.Kufungwa.3.kutoa sare..
poleni lakini..:wacko:
Asa si uliona Baba ako BR, Akampeleka tena Hendo kucheza mid ya pembeni..na kumuacha SG peke yake katikati..Yaan mambo ni kama ya Arsenal kuwachezesha wachezaj kwenye number ambazo syo zao ili tu kuwaAcomodate wachezaji flan..ni upuuzi sana..
Yule Raheem, ndiyo anachachafya sana team pinzan kwa pace yake, lakin kama hamna creativity eneo la katikat kazi itakuwa ni BURE..Coutinho alipiga mpira mkubwa sana Pre-season, na hiyo yote kwa sababu alikuwa anacheza central..sahiv kwenye game ngumu za EPL unamuamisha wide, Yale yale ya OZIL kuchezeshwa wide..
Hebu angalia hapa..unacheza 4-3-3..yaan mbele unamweka phill, sturridge na Sterling, Then maelekezo yako ni kwamba RS awe anaingia ndan zaid Na hicho kitendo ndo kinakuwa kinaMpush wide zaid Coutinho, mwisho wa siku Sturrdge anakuwa isolated, i mean inakuwa inambid arud chin huku kutafuta mipira, coz anakuwa anazikosa zile through passes, yaan link ya Kumuunganisha na Midfield inakuwa haipo..Matokeo yake inamforce SG kupiga pass ndefu ili kupush mashambulizi kutokea nyuma kabisa..and Long passes zitafanya kazi vip wakat back 5 yote ya Man City ni warefu!!!..ndo hapo ninaposema mimi kuwa kama hatak coutinho acheze namba 10, amdrop tu tujue moja..aanze na LAZAR tu..
Then Hendo pia game ya pili hii anachezeshwa out of his position na naweza nikasema Hendo is our best mid kwenye team..but playing him wide lazima tupigwe kwenye mid..
Kama unataka kucheza 4-3-3 ni bora uweke Mid ya SG, Can and Allen na front three ya Markovic, RS na Danny/MB..lakin syo kuwaforce Hendo na Coutinho kwenye kikosi kwa kuwachezesha namba ambazo siyo sawa..
Na i'd shocked kama Lucas akiondoka bila kufanyika kwa replacement yoyote ile katika DM..
Dhidi ya Spurs, i'd drop Lovren for Sakho!!!..
And I'd drop Phill (coz imeonekana kocha wetu anaforce kumchezesha wide ili kumuacomodate zaid Sterling) For Markovic...
Leo Sakho bro? Infact,ni wkt wa kujaribu pair ya Sakho na Coates! BR inabidi atafute kocha wa mabeki aise,atadhalilika! Na mfumo wake wakis*nge abadilishe,ningekuwa mimi ndo yeye,ningemtengeneza Lovren kuwa DM,awe anakaa kati pale SG,pale nyuma akae Agger au sako na Skirtel au seba. Ni hayo tu,ni hatari sana kucheza EPL na CDM mmoja.
good analysis Mosdef..
BR huwa anakuwa kama le profeseri...yaani anapanga timu akishapanga anakaa anaangalia mpira, liwalo na liwe..hawezi kugundua timu inazidiwa wapi abadili nini..
anahitaji kuongeza maujuzi kidogo kwenye 'uwezo wa kusoma mchezo na kufanya mabadililo' wakati muafaka.
kwangu mimi kumchezesha Dan Sturridge kama the # 9 siafiki. na kusema ukweli mkiendelea hivyo kufanya vizuri kwenye mechi kubwa itakuwa shida.
msimu ulopita alikuwa anacheza Dan-rahim na Suarez mbele..mtu anayeweza kufanya vizuri kwenye hilo jukumu la the main # 9 kwa sasa LFC ni Lambaert au Mario, sasa hawa kina Sturridge na Rahim wanaweza kucheza pembeni..hapo utaona raha ..lakini kinyume na hapo ni shida.
pia kama ulivyosema Handerson anajua sana akicheza kati; Handerson hawezi kukimbizana na mabeki wa pembeni..inakuwa kama mko pungufu..next match Spurs..jipangeni..
Spurs ya MoP ni tofauti na AVB..:A S-eek:
Leo Sakho bro? Infact,ni wkt wa kujaribu pair ya Sakho na Coates! BR inabidi atafute kocha wa mabeki aise,atadhalilika! Na mfumo wake wakis*nge abadilishe,ningekuwa mimi ndo yeye,ningemtengeneza Lovren kuwa DM,awe anakaa kati pale SG,pale nyuma akae Agger au sako na Skirtel au seba. Ni hayo tu,ni hatari sana kucheza EPL na CDM mmoja.
Well said agosti 8..imefika kipindi watu wafungue macho, ushabiki wao kwa BR unawafanya wanakuwa vipofu sana kuona mapungufu ya Jamaa..
LFC ni timu kubwa..
lakini BR ni kocha mzuri anayechipukia..yeye ni kundi moja na ROBERTO MARTINEZ,GARRY MONK{SWANSEA}, PAUL LAMBERT{ASTON VILLA}, au pia kama wakongwe wengine ambao wako kawaida kama vile TP "PULIS" na MARK HUGHES..
Ili afike daraja la kina Di Matteo au Diego Simeone ambao ni kama 'age mate' wenzake..inabidi ajue kufanya maamuzi magumu..
Kwa sasa nafikiri anapenda kuwa kipenzi cha wachezaji..
Ili afike juu zaidi anahitaji kufanya maamuzi magumu. Kupanga kikosi cha ushindi si mazoea.
Kuna mdau hapa hapa LFC alisema jana kwamba Allen ni mchezaji wa plan B..lakini jana ndo aliyeanza au siyo?
Pia sikuelewa hoja ya kumtosa kabisa Pepe Reina..kwa sababu inaonekana kipa wenu wa sasa hawezi kuperfom vizuri kwenye 'one-on-one' situations...
Mfano goli la 1 na goli 3..kama angekuwa Pepe Reina angeokoa moja kati ya hayo..maana kipa mwenye uwezo anaweza kabisa kucheza mipira hiyo..
Kuhusu suala la Mignolet, Nadhan ndo maana LFC wanatafuta another keeper..Mignolet bado ni Liability..
Sawa DR liki naona wewe ndio unafaa Kuwa Assistant wa LFC kwa Rogers unaonekana kwa maelezo marefu unaipenda LFC mchambuzi Mzuri wewe hongera!LFC ni timu kubwa..
lakini BR ni kocha mzuri anayechipukia..yeye ni kundi moja na ROBERTO MARTINEZ,GARRY MONK{SWANSEA}, PAUL LAMBERT{ASTON VILLA}, au pia kama wakongwe wengine ambao wako kawaida kama vile TP "PULIS" na MARK HUGHES..
Ili afike daraja la kina Di Matteo au Diego Simeone ambao ni kama 'age mate' wenzake..inabidi ajue kufanya maamuzi magumu..
Kwa sasa nafikiri anapenda kuwa kipenzi cha wachezaji..
Ili afike juu zaidi anahitaji kufanya maamuzi magumu. Kupanga kikosi cha ushindi si mazoea.
Kuna mdau hapa hapa LFC alisema jana kwamba Allen ni mchezaji wa plan B..lakini jana ndo aliyeanza au siyo?
Pia sikuelewa hoja ya kumtosa kabisa Pepe Reina..kwa sababu inaonekana kipa wenu wa sasa hawezi kuperfom vizuri kwenye 'one-on-one' situations...
Mfano goli la 1 na goli 3..kama angekuwa Pepe Reina angeokoa moja kati ya hayo..maana kipa mwenye uwezo anaweza kabisa kucheza mipira hiyo..
Sawa DR liki naona wewe ndio unafaa Kuwa Assistant wa LFC kwa Rogers unaonekana kwa maelezo marefu unaipenda LFC mchambuzi Mzuri wewe hongera!
Tulieni ndio tushafungwa week ijayo tutafurahi Week hii naona j4 na J5 ni siku za Champion League sindio? Manchester United wanacheza Leo CL mbona sie hatuchezi au hatupo champion League?
leo niko hapa kutoa kampani ya kutosha maana kuna wenyeji wengine wameingia mitini.
ok tuendelee mosdef..
TATIZO LA PILI. umetaja kwamba kwenye ulinzi/mabeki kuna udhaifu..
mimi nadhani kinachochangia kikubwa ni kukosekana kwa kocha msaidizi aliyebobea kwenye idara hiyo.
Kwa mfano wasaidizi wawili wa BR...
1. Kocha msaidizi Colin Pascoe..(huyu alikuwa mchezaji wa kiungo akiwa Sunderland na Swansea City..
2. Kocha msaidizi Mike Marsh{huyu pia alikuwa mchezaji wa LFC miaka ya 1990} alikuwa anacheza kiungo pia.
Ndo maana si ajabu kuona LFC imesajili wachezaji wengi sana kwenye idara ya kiungo.
Hata hivyo si lazima kocha awe beki ili afundishe mabeki vizuri, lakini ingefaa S.HYPPIA arudishwe..au STEVE CLARKE..awe na msaidizi atakayemsaidia kwenye kusuka mabeki..
BR ni muumini wa mpira wa pasi, mpira unaovutia macho..lakini huwa hajali sana ulinzi..anakuwa kama LES FERDINAND..ambaye alifukuzwa Spurs. kwa sababu walianza kufungwa mengi mengi mara 6-0, mara 5-0 wenye timu wakaona utani umezidi..