Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

man city atacheza na chelsea ndani ya mechi 5 tu zijazo..

kumbukeni mwaka jana chelsea ilifunga liverpool njea na ndani. pia ilifunga city nje na ndani..

chelsea wako vizuri sana kimfumo kuliko LFC...

Na ukumbuke msimu uliopita hizi timu ndogo ndio zilimpa Chelski shida sana.
Kumbuka ndio timu pekee ambayo Man city ilishindwa kuifunga....
Wakiweza kuzifunga timu ndogo msimu huu nadhani hizi ''big four' teams hazitawapa tabu sana..!
I'm an #arsenalFan though..!
 
but from the CHELSEA FAN..

jana jamaa Man city waliwazidi mbinu kwenye kiungo; jambo hili hata wewe mkuu Mosdef ulionyesha hofu yake hata kabla ya mechi.

kiungo chao kimekuwa imara sana baada ya yule kijana waliyemsajili FERNANDO.R. anavaa # 6. yule dogo anajua kukaba na kupunguza nguvu ya wapinzani; hivyo YAYA anakuwa free kufanya mambo yake; waliwasukumu sana kwenye goli lenu...muda mwingi wa mchezo;..

kama ulivyosema mpira ni 1.Kushinda.2.Kufungwa.3.kutoa sare..

poleni lakini..:wacko:

Asa si uliona Baba ako BR, Akampeleka tena Hendo kucheza mid ya pembeni..na kumuacha SG peke yake katikati..Yaan mambo ni kama ya Arsenal kuwachezesha wachezaj kwenye number ambazo syo zao ili tu kuwaAcomodate wachezaji flan..ni upuuzi sana..

Yule Raheem, ndiyo anachachafya sana team pinzan kwa pace yake, lakin kama hamna creativity eneo la katikat kazi itakuwa ni BURE..Coutinho alipiga mpira mkubwa sana Pre-season, na hiyo yote kwa sababu alikuwa anacheza central..sahiv kwenye game ngumu za EPL unamuamisha wide, Yale yale ya OZIL kuchezeshwa wide..

Hebu angalia hapa..unacheza 4-3-3..yaan mbele unamweka phill, sturridge na Sterling, Then maelekezo yako ni kwamba RS awe anaingia ndan zaid Na hicho kitendo ndo kinakuwa kinaMpush wide zaid Coutinho, mwisho wa siku Sturrdge anakuwa isolated, i mean inakuwa inambid arud chin huku kutafuta mipira, coz anakuwa anazikosa zile through passes, yaan link ya Kumuunganisha na Midfield inakuwa haipo..Matokeo yake inamforce SG kupiga pass ndefu ili kupush mashambulizi kutokea nyuma kabisa..and Long passes zitafanya kazi vip wakat back 5 yote ya Man City ni warefu!!!..ndo hapo ninaposema mimi kuwa kama hatak coutinho acheze namba 10, amdrop tu tujue moja..aanze na LAZAR tu..

Then Hendo pia game ya pili hii anachezeshwa out of his position na naweza nikasema Hendo is our best mid kwenye team..but playing him wide lazima tupigwe kwenye mid..

Kama unataka kucheza 4-3-3 ni bora uweke Mid ya SG, Can and Allen na front three ya Markovic, RS na Danny/MB..lakin syo kuwaforce Hendo na Coutinho kwenye kikosi kwa kuwachezesha namba ambazo siyo sawa..

Na i'd shocked kama Lucas akiondoka bila kufanyika kwa replacement yoyote ile katika DM..
 
good analysis Mosdef..

BR huwa anakuwa kama le profeseri...yaani anapanga timu akishapanga anakaa anaangalia mpira, liwalo na liwe..hawezi kugundua timu inazidiwa wapi abadili nini..

anahitaji kuongeza maujuzi kidogo kwenye 'uwezo wa kusoma mchezo na kufanya mabadililo' wakati muafaka.

kwangu mimi kumchezesha Dan Sturridge kama the # 9 siafiki. na kusema ukweli mkiendelea hivyo kufanya vizuri kwenye mechi kubwa itakuwa shida.

msimu ulopita alikuwa anacheza Dan-rahim na Suarez mbele..mtu anayeweza kufanya vizuri kwenye hilo jukumu la the main # 9 kwa sasa LFC ni Lambaert au Mario, sasa hawa kina Sturridge na Rahim wanaweza kucheza pembeni..hapo utaona raha ..lakini kinyume na hapo ni shida.

pia kama ulivyosema Handerson anajua sana akicheza kati; Handerson hawezi kukimbizana na mabeki wa pembeni..inakuwa kama mko pungufu..next match Spurs..jipangeni..

Spurs ya MoP ni tofauti na AVB..:A S-eek:

Dhidi ya Spurs, i'd drop Lovren for Sakho!!!..

And I'd drop Phill (coz imeonekana kocha wetu anaforce kumchezesha wide ili kumuacomodate zaid Sterling) For Markovic...

Leo Sakho bro? Infact,ni wkt wa kujaribu pair ya Sakho na Coates! BR inabidi atafute kocha wa mabeki aise,atadhalilika! Na mfumo wake wakis*nge abadilishe,ningekuwa mimi ndo yeye,ningemtengeneza Lovren kuwa DM,awe anakaa kati pale SG,pale nyuma akae Agger au sako na Skirtel au seba. Ni hayo tu,ni hatari sana kucheza EPL na CDM mmoja.
 
Mpeni kazi Steve Clarke..huyo ndo anajua kusuka mabeki..ulizeni CHELSEA FC 2004-2005 ALIYEISUKA NANI?

au kama mnaogopa chukueni beki wenu HYPPIA aje awasaidie..:wacko:

Leo Sakho bro? Infact,ni wkt wa kujaribu pair ya Sakho na Coates! BR inabidi atafute kocha wa mabeki aise,atadhalilika! Na mfumo wake wakis*nge abadilishe,ningekuwa mimi ndo yeye,ningemtengeneza Lovren kuwa DM,awe anakaa kati pale SG,pale nyuma akae Agger au sako na Skirtel au seba. Ni hayo tu,ni hatari sana kucheza EPL na CDM mmoja.
 
good analysis Mosdef..

BR huwa anakuwa kama le profeseri...yaani anapanga timu akishapanga anakaa anaangalia mpira, liwalo na liwe..hawezi kugundua timu inazidiwa wapi abadili nini..

anahitaji kuongeza maujuzi kidogo kwenye 'uwezo wa kusoma mchezo na kufanya mabadililo' wakati muafaka.

kwangu mimi kumchezesha Dan Sturridge kama the # 9 siafiki. na kusema ukweli mkiendelea hivyo kufanya vizuri kwenye mechi kubwa itakuwa shida.

msimu ulopita alikuwa anacheza Dan-rahim na Suarez mbele..mtu anayeweza kufanya vizuri kwenye hilo jukumu la the main # 9 kwa sasa LFC ni Lambaert au Mario, sasa hawa kina Sturridge na Rahim wanaweza kucheza pembeni..hapo utaona raha ..lakini kinyume na hapo ni shida.

pia kama ulivyosema Handerson anajua sana akicheza kati; Handerson hawezi kukimbizana na mabeki wa pembeni..inakuwa kama mko pungufu..next match Spurs..jipangeni..

Spurs ya MoP ni tofauti na AVB..:A S-eek:

Well said agosti 8..imefika kipindi watu wafungue macho, ushabiki wao kwa BR unawafanya wanakuwa vipofu sana kuona mapungufu ya Jamaa..
 
Last edited by a moderator:
Leo Sakho bro? Infact,ni wkt wa kujaribu pair ya Sakho na Coates! BR inabidi atafute kocha wa mabeki aise,atadhalilika! Na mfumo wake wakis*nge abadilishe,ningekuwa mimi ndo yeye,ningemtengeneza Lovren kuwa DM,awe anakaa kati pale SG,pale nyuma akae Agger au sako na Skirtel au seba. Ni hayo tu,ni hatari sana kucheza EPL na CDM mmoja.

Agger angekuwa fit, i'd start him ahead over any CB tulionao..BUT kwasasa nadhan Sakho must start katika game zetu za away..

BR kumuanzisha COATES ni ngumu zaid ya LAMBERT kushinda Ballon d'or..

So kwa hapo utasubiria saaaaaaana bro The Magnificent

The best signing ambayo LFC wataifanya ni kumsign STEVE CLARKE aje kuitight defense..kipind cha Daglish tulikuwa Very STRONG at the back na we only had Agger, Skritel and Callagher as our main CB's with GJ and JE as our main fullbacks.
 
Last edited by a moderator:
LFC ni timu kubwa..
lakini BR ni kocha mzuri anayechipukia..yeye ni kundi moja na ROBERTO MARTINEZ,GARRY MONK{SWANSEA}, PAUL LAMBERT{ASTON VILLA}, au pia kama wakongwe wengine ambao wako kawaida kama vile TP "PULIS" na MARK HUGHES..

Ili afike daraja la kina Di Matteo au Diego Simeone ambao ni kama 'age mate' wenzake..inabidi ajue kufanya maamuzi magumu..
Kwa sasa nafikiri anapenda kuwa kipenzi cha wachezaji..
Ili afike juu zaidi anahitaji kufanya maamuzi magumu. Kupanga kikosi cha ushindi si mazoea.

Kuna mdau hapa hapa LFC alisema jana kwamba Allen ni mchezaji wa plan B..lakini jana ndo aliyeanza au siyo?

Pia sikuelewa hoja ya kumtosa kabisa Pepe Reina..kwa sababu inaonekana kipa wenu wa sasa hawezi kuperfom vizuri kwenye 'one-on-one' situations...

Mfano goli la 1 na goli 3..kama angekuwa Pepe Reina angeokoa moja kati ya hayo..maana kipa mwenye uwezo anaweza kabisa kucheza mipira hiyo..

Well said agosti 8..imefika kipindi watu wafungue macho, ushabiki wao kwa BR unawafanya wanakuwa vipofu sana kuona mapungufu ya Jamaa..
 
And now Echo are saying Moreno and GJ wana nafasi ndogo sana ya kumake it kwenye game ya Sunday kutokana na minor injuries walizozipata last night..

Flano bado hajawa fit, JE rumours zinasema alipick up a knock kwenye training juzi, So mpaka now as we speak we have only 1 Fullback who's 100% fit ni Manquillo tu..
 
LFC ni timu kubwa..
lakini BR ni kocha mzuri anayechipukia..yeye ni kundi moja na ROBERTO MARTINEZ,GARRY MONK{SWANSEA}, PAUL LAMBERT{ASTON VILLA}, au pia kama wakongwe wengine ambao wako kawaida kama vile TP "PULIS" na MARK HUGHES..

Ili afike daraja la kina Di Matteo au Diego Simeone ambao ni kama 'age mate' wenzake..inabidi ajue kufanya maamuzi magumu..
Kwa sasa nafikiri anapenda kuwa kipenzi cha wachezaji..
Ili afike juu zaidi anahitaji kufanya maamuzi magumu. Kupanga kikosi cha ushindi si mazoea.

Kuna mdau hapa hapa LFC alisema jana kwamba Allen ni mchezaji wa plan B..lakini jana ndo aliyeanza au siyo?

Pia sikuelewa hoja ya kumtosa kabisa Pepe Reina..kwa sababu inaonekana kipa wenu wa sasa hawezi kuperfom vizuri kwenye 'one-on-one' situations...

Mfano goli la 1 na goli 3..kama angekuwa Pepe Reina angeokoa moja kati ya hayo..maana kipa mwenye uwezo anaweza kabisa kucheza mipira hiyo..

Kuhusu suala la Mignolet, Nadhan ndo maana LFC wanatafuta another keeper..Mignolet bado ni Liability..
 
leo niko hapa kutoa kampani ya kutosha maana kuna wenyeji wengine wameingia mitini.
ok tuendelee mosdef..

TATIZO LA PILI. umetaja kwamba kwenye ulinzi/mabeki kuna udhaifu..

mimi nadhani kinachochangia kikubwa ni kukosekana kwa kocha msaidizi aliyebobea kwenye idara hiyo.

Kwa mfano wasaidizi wawili wa BR...
1. Kocha msaidizi Colin Pascoe..(huyu alikuwa mchezaji wa kiungo akiwa Sunderland na Swansea City..
2. Kocha msaidizi Mike Marsh{huyu pia alikuwa mchezaji wa LFC miaka ya 1990} alikuwa anacheza kiungo pia.

Ndo maana si ajabu kuona LFC imesajili wachezaji wengi sana kwenye idara ya kiungo.

Hata hivyo si lazima kocha awe beki ili afundishe mabeki vizuri, lakini ingefaa S.HYPPIA arudishwe..au STEVE CLARKE..awe na msaidizi atakayemsaidia kwenye kusuka mabeki..

BR ni muumini wa mpira wa pasi, mpira unaovutia macho..lakini huwa hajali sana ulinzi..anakuwa kama LES FERDINAND..ambaye alifukuzwa Spurs. kwa sababu walianza kufungwa mengi mengi mara 6-0, mara 5-0 wenye timu wakaona utani umezidi..

Tutapata taabu sn this season kwan Chelsea,Man c wako safi sn na wanafunga Magoli tarajiwa na Yasiyopaswa kufunga.TUANZE NA SPURS NEXT WKEND IF WE REAL WANT TO REMAIN IN THE TOP 4 UNLESS TUTARUD EUROPA LEAGUE..TUKUMBUKE PIA MECH IMECHEZWA MAPEMA SN TOKA LEAGUE IANZE PLUS SURA MPYA KTK KIKOSI NI VIGUMU SN KUPATA MATOKEO AGAINST STRONG TEAMS LIKE MAN C&CHELS.WANA LIVERPOOL WENZANGU MCHEZO TUMEUPOTEZA TAYARI NA TUWE NA SUBIRA MPAKA KUANZIA MECHI 7 THEN TUJE KUTOA MAPUNGUFU VZR.
 
jogoo kakalia kigoda tatu kama
matairi ya guta
matairi ya bajaj
baiskeli za azam

ha ha ha ha ha
jogoo kataga
 
Tulieni ndio tushafungwa week ijayo tutafurahi Week hii naona j4 na J5 ni siku za Champion League sindio? Manchester United wanacheza Leo CL mbona sie hatuchezi au hatupo champion League?
 
Kwa msimu BR hana excuse yoyote ile, kama muda kaishapewa wa kutosha misimu miwili na huu ni wa tatu, kama pesa kapewa za kutosha. Akiendelea na mtindo wake huu naona dalili zakuwa ndie kocha wa kwanza kuondoshwa. FSG hawatahitaji kujifikiria mara mbili.
Nakumbuka kipindi cha Benitez, jamaa akisimama na kuanza kupiga miruzi na kuchezesha vidole vyake unaona kuna kitu kinabadilika uwanjani. Ila sasa hivi timu inavyoanza ndio inavyomaliza, ukiangalia msimu uliopita games nyingi tulicheza dk 45 za kwanza hizo zilizopaki tulikuwa tunapata shida sana.
 
LFC ni timu kubwa..
lakini BR ni kocha mzuri anayechipukia..yeye ni kundi moja na ROBERTO MARTINEZ,GARRY MONK{SWANSEA}, PAUL LAMBERT{ASTON VILLA}, au pia kama wakongwe wengine ambao wako kawaida kama vile TP "PULIS" na MARK HUGHES..

Ili afike daraja la kina Di Matteo au Diego Simeone ambao ni kama 'age mate' wenzake..inabidi ajue kufanya maamuzi magumu..
Kwa sasa nafikiri anapenda kuwa kipenzi cha wachezaji..
Ili afike juu zaidi anahitaji kufanya maamuzi magumu. Kupanga kikosi cha ushindi si mazoea.

Kuna mdau hapa hapa LFC alisema jana kwamba Allen ni mchezaji wa plan B..lakini jana ndo aliyeanza au siyo?

Pia sikuelewa hoja ya kumtosa kabisa Pepe Reina..kwa sababu inaonekana kipa wenu wa sasa hawezi kuperfom vizuri kwenye 'one-on-one' situations...

Mfano goli la 1 na goli 3..kama angekuwa Pepe Reina angeokoa moja kati ya hayo..maana kipa mwenye uwezo anaweza kabisa kucheza mipira hiyo..
Sawa DR liki naona wewe ndio unafaa Kuwa Assistant wa LFC kwa Rogers unaonekana kwa maelezo marefu unaipenda LFC mchambuzi Mzuri wewe hongera!
 
mimi ni mpenzi wa mpira, lakii ni mshabiki wa CHELSEA FC FOREVER BLUE. NA WEWE UNAJUA WAZI.
kujenga hoja nzuri hakumaanishi mimi ni LFC..
Badala yake nipo hapa kutoa faraja na kuzungumza mpira tu..

cc. Mosdef..

Sawa DR liki naona wewe ndio unafaa Kuwa Assistant wa LFC kwa Rogers unaonekana kwa maelezo marefu unaipenda LFC mchambuzi Mzuri wewe hongera!
 
Tulieni ndio tushafungwa week ijayo tutafurahi Week hii naona j4 na J5 ni siku za Champion League sindio? Manchester United wanacheza Leo CL mbona sie hatuchezi au hatupo champion League?

hapo kwenye red: umeanza lini kushabikia mpira?
 
leo niko hapa kutoa kampani ya kutosha maana kuna wenyeji wengine wameingia mitini.
ok tuendelee mosdef..

TATIZO LA PILI. umetaja kwamba kwenye ulinzi/mabeki kuna udhaifu..

mimi nadhani kinachochangia kikubwa ni kukosekana kwa kocha msaidizi aliyebobea kwenye idara hiyo.

Kwa mfano wasaidizi wawili wa BR...
1. Kocha msaidizi Colin Pascoe..(huyu alikuwa mchezaji wa kiungo akiwa Sunderland na Swansea City..
2. Kocha msaidizi Mike Marsh{huyu pia alikuwa mchezaji wa LFC miaka ya 1990} alikuwa anacheza kiungo pia.

Ndo maana si ajabu kuona LFC imesajili wachezaji wengi sana kwenye idara ya kiungo.

Hata hivyo si lazima kocha awe beki ili afundishe mabeki vizuri, lakini ingefaa S.HYPPIA arudishwe..au STEVE CLARKE..awe na msaidizi atakayemsaidia kwenye kusuka mabeki..

BR ni muumini wa mpira wa pasi, mpira unaovutia macho..lakini huwa hajali sana ulinzi..anakuwa kama LES FERDINAND..ambaye alifukuzwa Spurs. kwa sababu walianza kufungwa mengi mengi mara 6-0, mara 5-0 wenye timu wakaona utani umezidi..

Hyppia yupo Brighton sahiv (championship), ndo kocha wao..so kumuhamisha kwenye mkataba wake ni ngumu kidogo!!

I think LFC ilikuwa inahitaj sana kocha wa defense, hatuna hicho kitu, Coz ninachokijua mimi ni kwamba Team inajengwa kwanza kwenye defense..hata uwe mzuri vipi kwenye ushambuliaji, beki ikiwa mbovu, itakuwa ni kazi BURE sana.
 
Back
Top Bottom