Mkuu ni #banter tu na joke nimeanza kushabikia mpira 2007! najuwa J4 Man U na MK Dons wanacheza round za mwanzo za Capital One Cup na naelewa CL league draw zake rasmi lini itakuwa na nani yupo nani hayupo towa Shaka.hapo kwenye red: umeanza lini kushabikia mpira?
Towa Shaka huna haja kufafanuwa sana najuwa Kama ni mshabiki wa Chelsea ila nimekupa hongera kwamba umefafanuwa vizuri ushambuzi inaonyesha vipi unaipenda LFC kwa Kujali uchambuzi Mzuri haimanishi ni mshabiki wa LFC endelea na mchango wako Mzuri ungekuwa mbaya ningekupinga ila mengi uliongea ukweli hasa kwenye Mignolet one on one ila kwenye mabeki Mie ndio nimeona makosa ila makosa mengi Mie nayaona ni katikati ya uwanja ndio yapo hakuna Middle anayezuia vizuri wala aliyekimbiza kuwachangamsha ma striker zaidi ya Markovic alivyoingia na Coutinho Man City alifanya kazi nzuri asicheze mpira sababu yeye ndio mchezeshaji watu pale City walifanya homework ayo vizuri Mie bado naamini Middle zikijuwa kazi zao mabeki watakuwa wazuri tu timu nyingi za ubingwa ni Middle kati na winger Na Kipa awe makini Kama wa Bayern Munich!mimi ni mpenzi wa mpira, lakii ni mshabiki wa CHELSEA FC FOREVER BLUE. NA WEWE UNAJUA WAZI.
kujenga hoja nzuri hakumaanishi mimi ni LFC..
Badala yake nipo hapa kutoa faraja na kuzungumza mpira tu..
cc. Mosdef..
Towa Shaka huna haja kufafanuwa sana najuwa Kama ni mshabiki wa Chelsea ila nimekupa hongera kwamba umefafanuwa vizuri ushambuzi inaonyesha vipi unaipenda LFC kwa Kujali uchambuzi Mzuri haimanishi ni mshabiki wa LFC endelea na mchango wako Mzuri ungekuwa mbaya ningekupinga ila mengi uliongea ukweli hasa kwenye Mignolet one on one ila kwenye mabeki Mie ndio nimeona makosa ila makosa mengi Mie nayaona ni katikati ya uwanja ndio yapo hakuna Middle anayezuia vizuri wala aliyekimbiza kuwachangamsha ma striker zaidi ya Markovic alivyoingia na Coutinho Man City alifanya kazi nzuri asicheze mpira sababu yeye ndio mchezeshaji watu pale City walifanya homework ayo vizuri Mie bado naamini Middle zikijuwa kazi zao mabeki watakuwa wazuri tu timu nyingi za ubingwa ni Middle kati na winger Na Kipa awe makini Kama wa Bayern Munich!
Kumbuka ukiwa Kipa sio kila mpira unaokolewa na Mikono zengine bora kutumia miguu kuliko mikono Mignolet anajuwa save ngumu ila uso kwa uso hajui kujipanga anaonekana muoga mtu akitisha yeye kashaanguka,jengine akipiga mpira hajui kupiga pembeni ya uwanja ukamfikia winger na pia hatulii golini siku watakuja kumpima jengine Mie mabeki bado kwa sasa sina hofu na hata nikiwa na hofu tujue Usajili wa mabeki ndio basi Manquilo/Johnson, Skartel. Lovren na Moreno hawa ndio si wengi Humu tumetaka ndio iwe line nyuma sasa vipi watu mbadilike Kauli sababu tumefungwa? Mie wasiwasi wangu ni Middle tu manake zipo nyingi na BR hajui azipange vipi au nani atoke bench Mie SG lazima bench ila Middle kila siku zikibadilika mpira hawatoelewana na mabeki watapewa tabu na striker wataanza kulalamika hawapatiwi mpira wanachotaka BR akae akubali kuuzi baaazi ya Middle na winger ili aijue timu yake ndio ipi kati sababu najuwa beki sasa hivi anajuwa ni nani na nani na Mie Hilo najuwa na anajuwa Striker nani na nani ila Middle na Wingers hajui na Mie sijui je nyie mnaonaje?Umesema kweli..
ila mtindo wa kipa wa Bayern ni sawa na kipa wa Spurs...
kwa umbo la kipa wenu ni vigumu kidogo kufanya kama kipa wa Bayern Munich..ila mkikaza kwenye kiungo na beki matatizo yatapungua kiasi cha kutosha..
ni vizuri kupata 'big shock' kama mliyopewa ili mkae mguu sawa..ligi imeanza hii..:wacko::wacko:
Kumbuka ukiwa Kipa sio kila mpira unaokolewa na Mikono zengine bora kutumia miguu kuliko mikono Mignolet anajuwa save ngumu ila uso kwa uso hajui kujipanga anaonekana muoga mtu akitisha yeye kashaanguka,jengine akipiga mpira hajui kupiga pembeni ya uwanja ukamfikia winger na pia hatulii golini siku watakuja kumpima jengine Mie mabeki bado kwa sasa sina hofu na hata nikiwa na hofu tujue Usajili wa mabeki ndio basi Manquilo/Johnson, Skartel. Lovren na Moreno hawa ndio si wengi Humu tumetaka ndio iwe line nyuma sasa vipi watu mbadilike Kauli sababu tumefungwa? Mie wasiwasi wangu ni Middle tu manake zipo nyingi na BR hajui azipange vipi au nani atoke bench Mie SG lazima bench ila Middle kila siku zikibadilika mpira hawatoelewana na mabeki watapewa tabu na striker wataanza kulalamika hawapatiwi mpira wanachotaka BR akae akubali kuuzi baaazi ya Middle na winger ili aijue timu yake ndio ipi kati sababu najuwa beki sasa hivi anajuwa ni nani na nani na Mie Hilo najuwa na anajuwa Striker nani na nani ila Middle na Wingers hajui na Mie sijui je nyie mnaonaje?

Tutapata taabu sn this season kwan Chelsea,Man c wako safi sn na wanafunga Magoli tarajiwa na Yasiyopaswa kufunga.TUANZE NA SPURS NEXT WKEND IF WE REAL WANT TO REMAIN IN THE TOP 4 UNLESS TUTARUD EUROPA LEAGUE..TUKUMBUKE PIA MECH IMECHEZWA MAPEMA SN TOKA LEAGUE IANZE PLUS SURA MPYA KTK KIKOSI NI VIGUMU SN KUPATA MATOKEO AGAINST STRONG TEAMS LIKE MAN C&CHELS.WANA LIVERPOOL WENZANGU MCHEZO TUMEUPOTEZA TAYARI NA TUWE NA SUBIRA MPAKA KUANZIA MECHI 7 THEN TUJE KUTOA MAPUNGUFU VZR.
me ombi langu tu glen johnson asipone hadi miez mitatu ipite
man city atacheza na chelsea ndani ya mechi 5 tu zijazo..
kumbukeni mwaka jana chelsea ilifunga liverpool njea na ndani. pia ilifunga city nje na ndani..
chelsea wako vizuri sana kimfumo kuliko LFC...
mkuu sahihisha matokeo yako. hawajafungwa 3-1, wamefungwa 4-0. kwani hujui kwamba magoli yote yametiwa kambani na wachezaji wa Man City?
Naskia mmefumuliwa nne kavu na kitimu cha daraja la pili muda mfupi ulopita,ya kweli haya?