Kumbuka ukiwa Kipa sio kila mpira unaokolewa na Mikono zengine bora kutumia miguu kuliko mikono Mignolet anajuwa save ngumu ila uso kwa uso hajui kujipanga anaonekana muoga mtu akitisha yeye kashaanguka,jengine akipiga mpira hajui kupiga pembeni ya uwanja ukamfikia winger na pia hatulii golini siku watakuja kumpima jengine Mie mabeki bado kwa sasa sina hofu na hata nikiwa na hofu tujue Usajili wa mabeki ndio basi Manquilo/Johnson, Skartel. Lovren na Moreno hawa ndio si wengi Humu tumetaka ndio iwe line nyuma sasa vipi watu mbadilike Kauli sababu tumefungwa? Mie wasiwasi wangu ni Middle tu manake zipo nyingi na BR hajui azipange vipi au nani atoke bench Mie SG lazima bench ila Middle kila siku zikibadilika mpira hawatoelewana na mabeki watapewa tabu na striker wataanza kulalamika hawapatiwi mpira wanachotaka BR akae akubali kuuzi baaazi ya Middle na winger ili aijue timu yake ndio ipi kati sababu najuwa beki sasa hivi anajuwa ni nani na nani na Mie Hilo najuwa na anajuwa Striker nani na nani ila Middle na Wingers hajui na Mie sijui je nyie mnaonaje?