Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hapo kwenye red: umeanza lini kushabikia mpira?
Mkuu ni #banter tu na joke nimeanza kushabikia mpira 2007! najuwa J4 Man U na MK Dons wanacheza round za mwanzo za Capital One Cup na naelewa CL league draw zake rasmi lini itakuwa na nani yupo nani hayupo towa Shaka.
 
mimi ni mpenzi wa mpira, lakii ni mshabiki wa CHELSEA FC FOREVER BLUE. NA WEWE UNAJUA WAZI.
kujenga hoja nzuri hakumaanishi mimi ni LFC..
Badala yake nipo hapa kutoa faraja na kuzungumza mpira tu..

cc. Mosdef..
Towa Shaka huna haja kufafanuwa sana najuwa Kama ni mshabiki wa Chelsea ila nimekupa hongera kwamba umefafanuwa vizuri ushambuzi inaonyesha vipi unaipenda LFC kwa Kujali uchambuzi Mzuri haimanishi ni mshabiki wa LFC endelea na mchango wako Mzuri ungekuwa mbaya ningekupinga ila mengi uliongea ukweli hasa kwenye Mignolet one on one ila kwenye mabeki Mie ndio nimeona makosa ila makosa mengi Mie nayaona ni katikati ya uwanja ndio yapo hakuna Middle anayezuia vizuri wala aliyekimbiza kuwachangamsha ma striker zaidi ya Markovic alivyoingia na Coutinho Man City alifanya kazi nzuri asicheze mpira sababu yeye ndio mchezeshaji watu pale City walifanya homework ayo vizuri Mie bado naamini Middle zikijuwa kazi zao mabeki watakuwa wazuri tu timu nyingi za ubingwa ni Middle kati na winger Na Kipa awe makini Kama wa Bayern Munich!
 
Umesema kweli..

ila mtindo wa kipa wa Bayern ni sawa na kipa wa Spurs...

kwa umbo la kipa wenu ni vigumu kidogo kufanya kama kipa wa Bayern Munich..ila mkikaza kwenye kiungo na beki matatizo yatapungua kiasi cha kutosha..

ni vizuri kupata 'big shock' kama mliyopewa ili mkae mguu sawa..ligi imeanza hii..:wacko::wacko:

Kumbuka ukiwa Kipa sio kila mpira unaokolewa na Mikono zengine bora kutumia miguu kuliko mikono Mignolet anajuwa save ngumu ila uso kwa uso hajui kujipanga anaonekana muoga mtu akitisha yeye kashaanguka,jengine akipiga mpira hajui kupiga pembeni ya uwanja ukamfikia winger na pia hatulii golini siku watakuja kumpima jengine Mie mabeki bado kwa sasa sina hofu na hata nikiwa na hofu tujue Usajili wa mabeki ndio basi Manquilo/Johnson, Skartel. Lovren na Moreno hawa ndio si wengi Humu tumetaka ndio iwe line nyuma sasa vipi watu mbadilike Kauli sababu tumefungwa? Mie wasiwasi wangu ni Middle tu manake zipo nyingi na BR hajui azipange vipi au nani atoke bench Mie SG lazima bench ila Middle kila siku zikibadilika mpira hawatoelewana na mabeki watapewa tabu na striker wataanza kulalamika hawapatiwi mpira wanachotaka BR akae akubali kuuzi baaazi ya Middle na winger ili aijue timu yake ndio ipi kati sababu najuwa beki sasa hivi anajuwa ni nani na nani na Mie Hilo najuwa na anajuwa Striker nani na nani ila Middle na Wingers hajui na Mie sijui je nyie mnaonaje?
 
Mie kilio changu ni mabeki Magoli yote tumepigwa kwa uzembe Wa beki. Beki inafika mahali wanakuwa kama wanasinzia. GJ akipanda hakumbuki kurudi haraka kuziba nafasi hivyo ikipigwa counter attack lazima tuwake! Ngoja tuone mechi inayokuja najua Sakho lazima ndani ya nyumba!!
 
Kumbuka ukiwa Kipa sio kila mpira unaokolewa na Mikono zengine bora kutumia miguu kuliko mikono Mignolet anajuwa save ngumu ila uso kwa uso hajui kujipanga anaonekana muoga mtu akitisha yeye kashaanguka,jengine akipiga mpira hajui kupiga pembeni ya uwanja ukamfikia winger na pia hatulii golini siku watakuja kumpima jengine Mie mabeki bado kwa sasa sina hofu na hata nikiwa na hofu tujue Usajili wa mabeki ndio basi Manquilo/Johnson, Skartel. Lovren na Moreno hawa ndio si wengi Humu tumetaka ndio iwe line nyuma sasa vipi watu mbadilike Kauli sababu tumefungwa? Mie wasiwasi wangu ni Middle tu manake zipo nyingi na BR hajui azipange vipi au nani atoke bench Mie SG lazima bench ila Middle kila siku zikibadilika mpira hawatoelewana na mabeki watapewa tabu na striker wataanza kulalamika hawapatiwi mpira wanachotaka BR akae akubali kuuzi baaazi ya Middle na winger ili aijue timu yake ndio ipi kati sababu najuwa beki sasa hivi anajuwa ni nani na nani na Mie Hilo najuwa na anajuwa Striker nani na nani ila Middle na Wingers hajui na Mie sijui je nyie mnaonaje?

ili SG akae bench, basi inatakiwa tupate a strong DM (Song, De jong, Gustavo)..Can hawez kucheza kama DM, siyo Allen wala Hendo wanaweza wakacheza kama DM, Natural DM tuliyenaye ni mmoja tu na sadly ni LUCAS ambaye kiwango kimeshashuka sana!!!..so we need a strong DM kama tunataka SG akae Bench..

Kuhusu Back-4, hasa hasa katika upande wa fullbacks, MORENO lazima aanze lakin ninacholalamika hapa ni kwamba BR kamuonea sana dogo, Debut katika game ngumu na ya away kwa mchezaji ambaye hajawahi kabisa kucheza EPL ni bonge la mzigo..Na ukichukulia he played with Coutinho wide, ambao coutinho syo mzuri kutrack back, so burden yote ya kuzuia ilikuwa kwake, Sidhan kama ilikuwa game sahihi kumuanzisha Moreno..but our back 4 katika away games ningependa iwe Flanagan Skritel sakho/agger Moreno na game za nyumban iwe Manquillo skritel lovren moreno/JE..
 
Tutapata taabu sn this season kwan Chelsea,Man c wako safi sn na wanafunga Magoli tarajiwa na Yasiyopaswa kufunga.TUANZE NA SPURS NEXT WKEND IF WE REAL WANT TO REMAIN IN THE TOP 4 UNLESS TUTARUD EUROPA LEAGUE..TUKUMBUKE PIA MECH IMECHEZWA MAPEMA SN TOKA LEAGUE IANZE PLUS SURA MPYA KTK KIKOSI NI VIGUMU SN KUPATA MATOKEO AGAINST STRONG TEAMS LIKE MAN C&CHELS.WANA LIVERPOOL WENZANGU MCHEZO TUMEUPOTEZA TAYARI NA TUWE NA SUBIRA MPAKA KUANZIA MECHI 7 THEN TUJE KUTOA MAPUNGUFU VZR.

Msimu huu top 4 haituhusu,Nishaliona hili tayari
 
Dah! Yamekuwa haya tena . ..... .... .... ... .... ... poleni wakuu. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
man city atacheza na chelsea ndani ya mechi 5 tu zijazo..

kumbukeni mwaka jana chelsea ilifunga liverpool njea na ndani. pia ilifunga city nje na ndani..

chelsea wako vizuri sana kimfumo kuliko LFC...

Then Chelsea akawa wa 3 kwenye EPL standing May 15
 
mkuu sahihisha matokeo yako. hawajafungwa 3-1, wamefungwa 4-0. kwani hujui kwamba magoli yote yametiwa kambani na wachezaji wa Man City?

Naskia mmefumuliwa nne kavu na kitimu cha daraja la pili muda mfupi ulopita,ya kweli haya?
 
Mkuu kuongea na Man U fans ni kujipotezea muda tu!
Mpinzano wa LFC mwaka huu ni Man City na Chelsea sio hawa Man U ambao hata Burnley week hii watawahangaisha Old Trafford
 
ALWAYS OUT OF POSITION; GLEN JOHNSON!

10612532_807398245985759_7595206804151251002_n.png

Mario..
 
Attachments

  • 1409124029555.jpg
    1409124029555.jpg
    33.2 KB · Views: 67
  • 1409124045817.jpg
    1409124045817.jpg
    31.6 KB · Views: 64
  • 1409124080087.jpg
    1409124080087.jpg
    34.7 KB · Views: 63
  • 1409124097175.jpg
    1409124097175.jpg
    72.4 KB · Views: 64
  • 1409124114085.jpg
    1409124114085.jpg
    77.8 KB · Views: 62
Bill Shankly.
 
Attachments

  • 1409124347366.jpg
    1409124347366.jpg
    41.7 KB · Views: 63
Some decent words from MARKOVIC....PESA siyo kitu kwake!!!

#lfcfamily
 
Attachments

  • 1409124575563.jpg
    1409124575563.jpg
    74.5 KB · Views: 78
Back
Top Bottom