Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tatizo la washambuliaji wa liverpool kila mmoja ni mchoyo anataka afunge yeye,kama sturige alivyokuwa anamfanyia Suarez.
Msimu uliopita niwekee Assist za ma Striker wa top 4 teams then tu hukumu nani mchoyo? Kuliko kusema tu wachoyo!
 
Msimu uliopita niwekee Assist za ma Striker wa top 4 teams then tu hukumu nani mchoyo? Kuliko kusema tu wachoyo!
hii gundu kucoment huku,timu ya kipuuzi,byee
 
Wewe ni mpuuzi.......mpuuzi hua tuna mpuuza.......na wewe tunakùpuuza.wana kops tusipoteza muda wetu kujibizana na huyu kichaa.YNWA
bwembwe matokeo ziro,tageni msimu huu maana mna sifa za kuhatamia
 
Dogo kauzwa dutch side fc

Tatizo ndugu yako Borini kapang'ang'ania sana pale Melwood..

Anabana sana nafasi za madogo wengine..Peterson alikuwa anakuja vizuri sana aisee!!!

Lakin naskia kuna Buy-back clause kwenye mkataba wake!!!

Peterson ameniuma sana!
 
Peterson hata mie kaniuma kweli deal lenyewe wameficha ficha hata makubaliano yao hayajawekwa wazi bora wangem-loan tu.
 
Peterson hata mie kaniuma kweli deal lenyewe wameficha ficha hata makubaliano yao hayajawekwa wazi bora wangem-loan tu.

Sema kama wameweka buy-back clause, itakuwa rahisi kumchukua siku za mbele..

Yaani sahiv naona kabisa bwana Borini akibak pale Melwood!!!
 
kwanini nimekuja kucoment kwenye timu ya kike na mashoga,samahani nimekimbia sikujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…