Msimu uliopita niwekee Assist za ma Striker wa top 4 teams then tu hukumu nani mchoyo? Kuliko kusema tu wachoyo!tatizo la washambuliaji wa liverpool kila mmoja ni mchoyo anataka afunge yeye,kama sturige alivyokuwa anamfanyia Suarez.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu uliopita niwekee Assist za ma Striker wa top 4 teams then tu hukumu nani mchoyo? Kuliko kusema tu wachoyo!tatizo la washambuliaji wa liverpool kila mmoja ni mchoyo anataka afunge yeye,kama sturige alivyokuwa anamfanyia Suarez.
hii gundu kucoment huku,timu ya kipuuzi,byeeMsimu uliopita niwekee Assist za ma Striker wa top 4 teams then tu hukumu nani mchoyo? Kuliko kusema tu wachoyo!
hii gundu kucoment huku,timu ya kipuuzi,byee
hii gundu kucoment huku,timu ya kipuuzi,byee
Peterson kalamba shavu dutch-side wanakop.
liverpool timu ya kipuuzi sanaIpi timu ya kipuuzi Liverpool au Chelsea?
liverpool timu ya kipuuzi sana
bwembwe matokeo ziro,tageni msimu huu maana mna sifa za kuhatamiaWewe ni mpuuzi.......mpuuzi hua tuna mpuuza.......na wewe tunakùpuuza.wana kops tusipoteza muda wetu kujibizana na huyu kichaa.YNWA
Khaaa! Mkuu, haya maombi yako hatari kweli...!!!me ombi langu tu glen johnson asipone hadi miez mitatu ipite
Dogo kauzwa dutch side fc
hii gundu kucoment huku,timu ya kipuuzi,byee
liverpool timu ya kipuuzi sana
Huku hata siagi najambaMkuu unaaga kwani ulpewa mwaliko? Kama ulkuja kimya kimya ondoka kimya kimya.
Tatizo ndugu yako Borini kapang'ang'ania sana pale Melwood..
Anabana sana nafasi za madogo wengine..Peterson alikuwa anakuja vizuri sana aisee!!!
Lakin naskia kuna Buy-back clause kwenye mkataba wake!!!
Peterson ameniuma sana!
Peterson hata mie kaniuma kweli deal lenyewe wameficha ficha hata makubaliano yao hayajawekwa wazi bora wangem-loan tu.
Huku hata siagi najamba
gombanieni top 4Wewe ni mpuuzi.......mpuuzi hua tuna mpuuza.......na wewe tunakùpuuza.wana kops tusipoteza muda wetu kujibizana na huyu kichaa.YNWA
kwanini nimekuja kucoment kwenye timu ya kike na mashoga,samahani nimekimbia sikujua.