Sema kama wameweka buy-back clause, itakuwa rahisi kumchukua siku za mbele..
Yaani sahiv naona kabisa bwana Borini akibak pale Melwood!!!
kwanini nimekuja kucoment kwenye timu ya kike na mashoga,samahani nimekimbia sikujua.
Itakuwa poa sana kama wamefanya vile, Borini naye nikotokufahamu tu ilkuwa chance yake kwenda ku-shine pale sunderland kuliko kusubiri mechi za carling cup zilzojaa low average players.
agosti 8 na Ntuzu hiki kitu anachokifanya shabiki mwenzenu wa chelsea kimeniuma sana..kwanini nimekuja kucoment kwenye timu ya kike na mashoga,samahani nimekimbia sikujua.
Huyu jamaa ana matatizo ,inabidi kumripoti kwa mod
Cc Invisible
Nafikiri zote sio timu za kipuuzi ila yeye jamaa ndio kajishushia heshima nafikiri na kila mtu kaliona hilo ajiheshimu kwanza.Ipi timu ya kipuuzi Liverpool au Chelsea?
kwanini nimekuja kucoment kwenye timu ya kike na mashoga,samahani nimekimbia sikujua.
Mkuu agosti 8 njoo ubebe msukule wako huku unachafua thread yetu
BALOTELLI vs BIBS