Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sema kama wameweka buy-back clause, itakuwa rahisi kumchukua siku za mbele..

Yaani sahiv naona kabisa bwana Borini akibak pale Melwood!!!

Itakuwa poa sana kama wamefanya vile, Borini naye nikotokufahamu tu ilkuwa chance yake kwenda ku-shine pale sunderland kuliko kusubiri mechi za carling cup zilzojaa low average players.
 
Itakuwa poa sana kama wamefanya vile, Borini naye nikotokufahamu tu ilkuwa chance yake kwenda ku-shine pale sunderland kuliko kusubiri mechi za carling cup zilzojaa low average players.

Ye na mwenzake Assaidi sijui wanafikiria nini aiseee!!!
 
kwanini nimekuja kucoment kwenye timu ya kike na mashoga,samahani nimekimbia sikujua.
agosti 8 na Ntuzu hiki kitu anachokifanya shabiki mwenzenu wa chelsea kimeniuma sana..

Hayo siyo maneno ya kiungwana ambayo mtu mzima mwenye uelewa wa maana anaweza akatoa kwa WANAUME wenzake..

NAOMBA TUHESHIMIANE TAFADHALI
 
Last edited by a moderator:
Viol umekuja kuitusi Familia ya LFC watu ambao wamestaarabika mno popote pale walipo duniani!

Sisi hatuwezi kukujibu kwa matusi!Hapa tumekuja kujadili soka tu
 
Last edited by a moderator:
WE'VE BEEN DRAWN AGAINST MIDDLESBROUGH FC kwenye THIRD ROUND ya CAPITAL ONE CUP..

watakuja ANFIELD.
 
agosti 8 na Ntuzu hiki kitu anachokifanya shabiki mwenzenu wa chelsea kimeniuma sana..

Hayo siyo maneno ya kiungwana ambayo mtu mzima mwenye uelewa wa maana anaweza akatoa kwa WANAUME wenzake..

NAOMBA TUHESHIMIANE TAFADHALI

Mkuu msameheni bure huyu ndugu yetu! Mambo km haya hutokea wakati mwingine lkn nyie kuweni imara na kuyapuuza!

Poleni sn wana LFC kwa kukwazika
 
Last edited by a moderator:
Jamani sidhani kama tunamuhitaji Shaqir wala Song!Kocha BR asi panic team yetu nzuri sana na mechi na Man City tulicheza vyema lkn tukakumbana na cylinical finishing ya Man City!
 
agosti 8 na Ntuzu wanajaribu kupingana na habari kuwa Costa wao kaumia ehehee!

Angalieni Eto'o Jumamosi anaweza ondoka tena na mpira wake kwenda nao Younde kama siku zileeee
 
Last edited by a moderator:
agosti 8 na Ntuzu wanajaribu kupingana na habari kuwa Costa wao kaumia ehehee!

Angalieni Eto'o Jumamosi anaweza ondoka tena na mpira wake kwenda nao Younde kama siku zileeee

Hahaaaa

Labda kwa beki za lfc na viungongo wa lfc na kipa wa lfc ndio ataondoka na mpira kwenda nao Cameroon. Lkn kwa timu yetu mtaomba pooo safari hii.
 
Last edited by a moderator:
BALOTELLI vs BIBS

10645313_807933192598931_1651018406166664331_n.jpg

unataka nikujibu hapa hapa au?
:wacko:
maana umenikimbia kule kwangu..ha aha haha sema mimi niko tayari.

agosti 8 na Ntuzu wanajaribu kupingana na habari kuwa Costa wao kaumia ehehee!

Angalieni Eto'o Jumamosi anaweza ondoka tena na mpira wake kwenda nao Younde kama siku zileeee
 
unataka nikujibu hapa hapa au?
:wacko:
maana umenikimbia kule kwangu..ha aha haha sema mimi niko tayari.

Kule amekimbia amekuja na hoja ya Costa akifikiri sisi twategemea mchezaji mmoja!

Safi sn Mentor wamwagie vitu hao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom