Kuna wenzako wanaoshiriki CL for the past 17 straight years na hadi leo patupu!Walete hao Real Madrid, FC Basel na Ludogorets!! Tuliimisi michuano yetu kitambo sana!
Wana-Liverpool kuna kauli juzi nilitoa humu na nikaona haijawapendeza wengi,samahanini wakuu wangu.Mi kuwa Chelsea haijengi uadui ila nilikuwa counter,pamoja wakuu karibu chelsea
pamoja mkuu,nimekunja goti
Sio vizuri kumkunjia goti binadamu mwenzako ila heshima umeirudisha usijali msamaha umekubalika so usikunje goti, ila jokes ruksa kwani utani kwenye mpira upo ila kuvuka mpaka wa kuvuwana nguo ndio haipendezi Tupo pamoja mkuu!pamoja mkuu,nimekunja goti
Wana-Liverpool kuna kauli juzi nilitoa humu na nikaona haijawapendeza wengi,samahanini wakuu wangu.Mi kuwa Chelsea haijengi uadui ila nilikuwa counter,pamoja wakuu karibu chelsea
Kuna wenzako wanaoshiriki CL for the past 17 straight years na hadi leo patupu!
Hata fixture yetu naona ipo poa sana
Tuta pita kundi hili na Madrid wasijidanganye kama watashinda Anfield