Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Walete hao Real Madrid, FC Basel na Ludogorets!! Tuliimisi michuano yetu kitambo sana!
 
Wana-Liverpool kuna kauli juzi nilitoa humu na nikaona haijawapendeza wengi,samahanini wakuu wangu.Mi kuwa Chelsea haijengi uadui ila nilikuwa counter,pamoja wakuu karibu chelsea
 
UEFA CHAMPIONS LEAGUE GROUP D_ GROUP OF
DEATH
1. Manchester United.
2. Swansea City.
3. Sunderland.
4. MK Dons.
 
Mara ya Mwisho Madrid na Liverpool UEFA matokeo yalikuwa haya
 

Attachments

  • 1409256099990.jpg
    1409256099990.jpg
    24.4 KB · Views: 76
pamoja mkuu,nimekunja goti
Sio vizuri kumkunjia goti binadamu mwenzako ila heshima umeirudisha usijali msamaha umekubalika so usikunje goti, ila jokes ruksa kwani utani kwenye mpira upo ila kuvuka mpaka wa kuvuwana nguo ndio haipendezi Tupo pamoja mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimefurahi sana ratiba yetu!Ni vyema kucheza na team bora kujua uwezo wetu!!
Nina uhakika Liverpool atafuzu round ya pili!Basel na hawa minnor tunawafunga kiurahisi tu
 
Wana-Liverpool kuna kauli juzi nilitoa humu na nikaona haijawapendeza wengi,samahanini wakuu wangu.Mi kuwa Chelsea haijengi uadui ila nilikuwa counter,pamoja wakuu karibu chelsea

Your apologize has been accepted!Kibinadam wote tunakosea na sisi watu wa Pwani(off course Kyela ni Pwani ziwa Nyasa tunalo) tunasema kukosea ni "kikoa"

Usiogope kututania hata kutupa challenge ila najua sasa hauna matumaini kabisa ya hata nafasi ya 4 kwa kuumia kwa Costa
Viol
 
Last edited by a moderator:
#LFC fixtures
Sep 16- Ludogorets (h)
Oct 1- Basel (a)
Oct 22- Real Madrid (h)
Nov 4- Real Madrid (a)
Nov 26- Ludogorets (a). Nimependa haijakaa vibaya fixture za game Kabisa kwenye uhai Anfield Kama Enzi za Luis Garcia!
Dec 9- Basel (h)
 
Kuna wenzako wanaoshiriki CL for the past 17 straight years na hadi leo patupu!

Ehehehehe mke wangu Arsenal damu kila ukimkumbusha kuwa hawajawahi kutwaa CL anasema mwqka 2006 walinyimwa ushindi kwa hila!

Madai ya ajabu kabisa;anasema keeper wao alitolewa kimakosa;huwa anaongeza etu bao la Sol Campbell lilikuwa halali na bao la Eto'o alikuwa off side

Huwa ananichekesha zaidi kudai eti Monaco ni mji wa Barcelona so ukawa unfriend kwao eheheheh
 
CAMBIASSO TO LEICESTER CITY!!!!!?????

AM TOTALLY SHOCKED!!

Ajabu la MWAKA.
 
Back
Top Bottom