Yaani baada ya kum-bania sana Agger kujiunga na Barcelona last season, Leo hii unakaribia kumwachia kwa £3 tu kwenda kwenye team ya kishenzi kama Brondby..
Si bora wangemuuza barcelona last season walipobid £15m???
LFC under BR imeharibu sana career ya Agger!!..jamaa ananiuma sana!!..at least wangemwachia aende Barca tu last season ile..yaan beki kama Vermalen kaenda Barca afu Agger eti anaenda Brondby!!!!!?
Afu anataka tena kumtoa kwa mkopo Coates wakat tayar Illori yupo out on loan..asa unamuuza Agger na unataka kumtoa kwa mkopo Coates afu unam-bakiza Kolo eti!!!!
Nimesoma sehem ambapo XABI ALONSO alikuwa quoted akisema kuwa *aliomba kuondoka madrid kama alivyofanya Di maria kwa sababu wanafanya kazi kubwa uwanjani lakini hawapati appreciation yoyote ya maana*..ndo haya sasa tunayoyaona LFC, BR anawapenda GJ na LUCAS, no wonder kakubali kumpa mkataba mpya GJ na kumpa mshahara wake ule ule wa 120k, then kwa upande mwingine unajaribu kwa nguvu zako zote kumuuza Agger na kumwacha mtu kama GJ!!!?..
Agger angekuwa na miaka 33-34 ningekubali tu arudi Brondby, lakin kwa miaka yake 29, kurud Brondby ni kuharibu career yake..na inaelekea ni kukomoana sijui, manake wamekataa loan propasal ya Benitez kule Napoli, afu sahv wanataka kumuuza kwa 3 kwa Brondby..
Bora wangemuuza Barcelona tu last season..
Imagine yalitokea juzi dhidi ya man city, Wachezaji watatu waumie kwa mpigo..lovren aumie, Sakho/skriter aumie..afu hapo hapo ushamuuza Agger, coates umemtoa kwa mkopo, illori kwa mkopo, wisdom kwa mkopo, kelly ushauza, afu j5 ndo unacheza na madrid, back line itakuwa sakho/skritel na kolo???...