Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 181436
Aiseee...!!!
Na wewe Manure umeamini profesional footballer anaweza kuongea maneno hayo? I doubt you're form four failure anyway,karibu.
Wakuu with due respect to BR...naomba apewe heshima inayomstahili ajenge timu anayoitaka yeye kwa mipango aliyonayo.
Naona kama vile lawama zimezidi sana humu ndani jamani...tukumbuke kila mtu huwa anapenda kujenga himaya yake mwenyewe though si vibaya kuacha some 'pillars'.
Na ktk pillars alizoamua kuziacha hao mnaolilia wawepo yeye hawataki...kumbukeni yeye ndo anai-interact na players day in day out so he knows better na vilevile ndo atakayejibu mwisho wa msimu!
Our task is to give him unconditional support. Tupunguze lawama wakuu...!
YNWA.
Na wewe Manure umeamini profesional footballer anaweza kuongea maneno hayo? I doubt you're form four failure anyway,karibu.
Mimi huyu BR imani yangu kwake inashuka sana,sijui kwanini tu
Mkuu tukumbuke kuwa no one is absolutely perfect... ni kweli kuna vitu tunaona kachemka but mwisho wa cku he has his reasons!
Time will tell...!
We can't change anything brother,after all me maombi yangu ni yaleyale tu,msimu huu tuwe wa 7 ili mtu atimuliwe pale! Ila Agger nae kazidi majeruhi sana,afu analalamika hapangwi,utampangaje mchezaji majeruhi?
Sijapenda Agger yeye kufanya hivi ila ukitowa yeye Kuipenda LFC kwa Damu Huyu Jamaa Ana ma Sport Bar huko kwao Mengi nasikia na Tatoo Ink so atakuwa karizika ila angejifikiria akaendelea na Club tu zengine kubwa.
Samuel Etoo hakusema Maneno hayo yaliandikwa hapo ni wenyewe watu wa Everton ndio wameandika ila tukija kwenye masuala ya Pesa LFC wali offer kubwa kushinda Everton mshahara ila kubwa yenyewe ni ipi basi tujiulize ni 70000per week kwa LFC na Everton kaenda 50000 sasa Jiulize timu gani hapo kwenye Hiyo mishahara ni pesa njugu tu kushinda mwenzake? Everton mashabiki wameandika kwenye social media ki utani tu Samuel Etoo hakuitema LFC kwenda Everton zaidi ya kumbuka jamaa medical yake alifanya wengine wanasema hakufanya ila yeye kwa mdomo wake Kama ulitozama Press alivyosajiliwa na Everton kwa mdomo wake nimemsikia kwenye TV Kasema alikuwa amejiona LFC wameamuangusha ila yote Life alichomaanisha inaonyesha walishakubaliana ila LFC kuona Deal la Ballotelli Pengine ndio Etoo story zikaisha jamaa akaona adondokee jirani zaidi ya hapo Nampenda Etoo na nampa heshima sana jamaa Everton wanajifurahisha tu na mahandishi.View attachment 181436
Aiseee...!!!