Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani baada ya kum-bania sana Agger kujiunga na Barcelona last season, Leo hii unakaribia kumwachia kwa £3 tu kwenda kwenye team ya kishenzi kama Brondby..

Si bora wangemuuza barcelona last season walipobid £15m???

LFC under BR imeharibu sana career ya Agger!!..jamaa ananiuma sana!!..at least wangemwachia aende Barca tu last season ile..yaan beki kama Vermalen kaenda Barca afu Agger eti anaenda Brondby!!!!!?

Afu anataka tena kumtoa kwa mkopo Coates wakat tayar Illori yupo out on loan..asa unamuuza Agger na unataka kumtoa kwa mkopo Coates afu unam-bakiza Kolo eti!!!!

Nimesoma sehem ambapo XABI ALONSO alikuwa quoted akisema kuwa *aliomba kuondoka madrid kama alivyofanya Di maria kwa sababu wanafanya kazi kubwa uwanjani lakini hawapati appreciation yoyote ya maana*..ndo haya sasa tunayoyaona LFC, BR anawapenda GJ na LUCAS, no wonder kakubali kumpa mkataba mpya GJ na kumpa mshahara wake ule ule wa 120k, then kwa upande mwingine unajaribu kwa nguvu zako zote kumuuza Agger na kumwacha mtu kama GJ!!!?..

Agger angekuwa na miaka 33-34 ningekubali tu arudi Brondby, lakin kwa miaka yake 29, kurud Brondby ni kuharibu career yake..na inaelekea ni kukomoana sijui, manake wamekataa loan propasal ya Benitez kule Napoli, afu sahv wanataka kumuuza kwa €3 kwa Brondby..

Bora wangemuuza Barcelona tu last season..

Imagine yalitokea juzi dhidi ya man city, Wachezaji watatu waumie kwa mpigo..lovren aumie, Sakho/skriter aumie..afu hapo hapo ushamuuza Agger, coates umemtoa kwa mkopo, illori kwa mkopo, wisdom kwa mkopo, kelly ushauza, afu j5 ndo unacheza na madrid, back line itakuwa sakho/skritel na kolo???...
 
ImageUploadedByJamiiForums1409385908.795031.jpg
Aiseee...!!!
 
Wakuu with due respect to BR...naomba apewe heshima inayomstahili ajenge timu anayoitaka yeye kwa mipango aliyonayo.

Naona kama vile lawama zimezidi sana humu ndani jamani...tukumbuke kila mtu huwa anapenda kujenga himaya yake mwenyewe though si vibaya kuacha some 'pillars'.

Na ktk pillars alizoamua kuziacha hao mnaolilia wawepo yeye hawataki...kumbukeni yeye ndo anai-interact na players day in day out so he knows better na vilevile ndo atakayejibu mwisho wa msimu!

Our task is to give him unconditional support. Tupunguze lawama wakuu...!
YNWA.
 
Liverpool are saying Agger himself amechagua kurudi Brondby, hakutaka kwenda kwenye club yoyote ile nyingne either ya England au Ya UCL..ndo maana.LFC wamekubali hiyo payCut ya £3m..

Does it make sense????
Pazi, osokonoi, The Magnificent, Tores TIMING, The Boss Malafyale Blac kid Amanijua etc

We can't change anything brother,after all me maombi yangu ni yaleyale tu,msimu huu tuwe wa 7 ili mtu atimuliwe pale! Ila Agger nae kazidi majeruhi sana,afu analalamika hapangwi,utampangaje mchezaji majeruhi?
 
Last edited by a moderator:

Mimi huyu BR imani yangu kwake inashuka sana,sijui kwanini tu
 
Na wewe Manure umeamini profesional footballer anaweza kuongea maneno hayo? I doubt you're form four failure anyway,karibu.

Eto'o huyu wa sasa hana hadhi tena ya kuchezea LFC...hapo alipoenda ndo saizi yake!

As for those words siamini KATU kama kayasema yeye...watakuwa ni wanazi tu wa Everton siunajua tena watani zetu hao.
 
We can't change anything brother,after all me maombi yangu ni yaleyale tu,msimu huu tuwe wa 7 ili mtu atimuliwe pale! Ila Agger nae kazidi majeruhi sana,afu analalamika hapangwi,utampangaje mchezaji majeruhi?

Me naona, syo fair jinsi wanavyoondoshwa pale LFC, ni bora wangemuuza Barca tu, Brondby bro haimake sense!!!

yale ya Reina na Aquillan ndo yamemtokea Agger sahiv, inauma sana..

TUNACHOTAKA WATU WAONDOKE KWA HESHIMA WANAYOSTAHILI kama walvyoondoka kna Garcia na alonso.
 
Liverpool are saying Agger himself amechagua kurudi Brondby, hakutaka kwenda kwenye club yoyote ile nyingne either ya England au Ya UCL..ndo maana.LFC wamekubali hiyo payCut ya £3m..

Does it make sense????
Pazi, osokonoi, The Magnificent, Tores TIMING, The Boss Malafyale Blac kid Amanijua etc
Sijapenda Agger yeye kufanya hivi ila ukitowa yeye Kuipenda LFC kwa Damu Huyu Jamaa Ana ma Sport Bar huko kwao Mengi nasikia na Tatoo Ink so atakuwa karizika ila angejifikiria akaendelea na Club tu zengine kubwa.
 
Samuel Etoo hakusema Maneno hayo yaliandikwa hapo ni wenyewe watu wa Everton ndio wameandika ila tukija kwenye masuala ya Pesa LFC wali offer kubwa kushinda Everton mshahara ila kubwa yenyewe ni ipi basi tujiulize ni 70000per week kwa LFC na Everton kaenda 50000 sasa Jiulize timu gani hapo kwenye Hiyo mishahara ni pesa njugu tu kushinda mwenzake? Everton mashabiki wameandika kwenye social media ki utani tu Samuel Etoo hakuitema LFC kwenda Everton zaidi ya kumbuka jamaa medical yake alifanya wengine wanasema hakufanya ila yeye kwa mdomo wake Kama ulitozama Press alivyosajiliwa na Everton kwa mdomo wake nimemsikia kwenye TV Kasema alikuwa amejiona LFC wameamuangusha ila yote Life alichomaanisha inaonyesha walishakubaliana ila LFC kuona Deal la Ballotelli Pengine ndio Etoo story zikaisha jamaa akaona adondokee jirani zaidi ya hapo Nampenda Etoo na nampa heshima sana jamaa Everton wanajifurahisha tu na mahandishi.
 
Wadau kesho ndo dirisha linafungwa vipi kuhusu tetesi za 'nyongeza' katika usaji...au ndo tushafunga mahesabu tayari?

Any new news...?
 
Nalitambua hilo Pazi na nashukuru wewe ni muelewa pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom