Jamani all Liverpool's YNWA mwaka huu tuna team!Hii team nzuri sana na tena beki zetu iwe hii hii Skrtel akipona akae nyani kwanza!
GJ hata apone hamna kucheza,Flano atacheza FA cup!Hawa vijana pembeni wazuri mno jamani
Uwiiii!
Tanesco wametunyima raha! How was it?
kama unakumbuka alichowafanya barca mtoto bale, ndo kilichotokea leo, ingia you tube fasta
ngumbuke ni bao la 3 katupia beki hatari sana Moreno!
Kama Sakho na Lovren wangeanza na Man City na kama Baloteli angepata kibali nina uhakika tungepata point(s)pale Etihad
Nadhani leo BR hatalaumiwa kwa kumchezesha Moreno 'asiye na uzoefu na premier,game ya away'!Watu bhana,ha ha ha!