ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 495
- 527
Jamani all Liverpool's YNWA mwaka huu tuna team!Hii team nzuri sana na tena beki zetu iwe hii hii Skrtel akipona akae nyani kwanza!
GJ hata apone hamna kucheza,Flano atacheza FA cup!Hawa vijana pembeni wazuri mno jamani
Kwa hiyo kuna kila sababu ya Maquillo kununuliwa si kukopwa! Sikumuona mechi ya kwanza, hata hivyo Moreno aliniimpress ingawa upande wake ulipwaya siku ile na Manshit!