Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani all Liverpool's YNWA mwaka huu tuna team!Hii team nzuri sana na tena beki zetu iwe hii hii Skrtel akipona akae nyani kwanza!

GJ hata apone hamna kucheza,Flano atacheza FA cup!Hawa vijana pembeni wazuri mno jamani

Kwa hiyo kuna kila sababu ya Maquillo kununuliwa si kukopwa! Sikumuona mechi ya kwanza, hata hivyo Moreno aliniimpress ingawa upande wake ulipwaya siku ile na Manshit!
 
Let party begin!
LFC leo wamecheza kitimu zaidi hasa back line imefurahisha sana
 
Pochettino alipohojiwa mchana alisema" The past is a past... I don't want to remember about the past". Today he will remember about it!
YNWA.
 
Nadhani leo BR hatalaumiwa kwa kumchezesha Moreno 'asiye na uzoefu na premier,game ya away'!Watu bhana,ha ha ha!
 
Nadhani leo BR hatalaumiwa kwa kumchezesha Moreno 'asiye na uzoefu na premier,game ya away'!Watu bhana,ha ha ha!

Juzi mi nilishasema jamani tuache kumlaumu kocha wetu... kila timu huwa inafungwa wakuu. Just look at Man City alivyopitwa jana... inamaana Pellegrini alaumiwe kumuanzisha Sagna?

Tumuache kocha afanye kazi yake... he knows better than us.

YNWA...!
 
Moreno is best EPL left back-by former LFC middle man Jammie Carragher
 
Great results, great squad... Wait for lallana to make his mark as well
 
Nadhani leo BR hatalaumiwa kwa kumchezesha Moreno 'asiye na uzoefu na premier,game ya away'!Watu bhana,ha ha ha!

kati ya siku chache alizowahi kunifurahisha BR,ni pamoja na leo,kapanga timu vizuri,na kanifurahisha zaidi kwenye sub,kafanya sub kwa kutumia akili.
 
Back
Top Bottom