Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HAHAHAHA!!!!

Angalia LUCAS alivyomjibu Indy kwenye TWITTER leo!!!!
 
Attachments

  • 1409524133180.jpg
    59.4 KB · Views: 102

Jamani watu wengine vipi? Sisi umu sio mashabiki kusifia tu km vile mashabiki wa vyama vya siasa.kawaida yetu mtu akifanya vibaya lazima tumkosoe na akifanya vizuri lazima tumsifie.well said by Mosdef. Ushabiki sio lazima usifie tu hata km kitu kinaenda kombo. Mosdef jamaa atakua alikua hajakuelewa vizuri.

Da wakuu game ya jana niliangalia dk 27 tu za kwanza kwa bahati mbaya muda wa kucheck in ukawadia tukaanza safari na bahati mbaya tukaambiwa tuzime na sim so nikashindwa hata kufuatilia online. Da sasa naona tunafanya vizuri wakuu 3 bilaaaaa sio mchezo.YNWA
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kama siamini kuondoka kwa Agger.nahisi km ni ndoto.najaribu kuwaza ni nani atavaa viatu vya agger?especially ktk uongozi (VICE CAPTAIN)? Mi binafsi namfikiria Hendo......sijui nyinyi wakuu......cc Mosdef, Magnificent, Janjaweed, Malafyale, Pazi, Blac kid, Osokonoi, Mzee wa rubisi, Gwamahala. .......maoni yenu hapa jamani.
 
Nukuu ya Bill Shankly hiyo,'if you don't chear us when we are losing,don't ever chear us when we are winning' kwa kifupi jamaa huyu hakutaka plastic fans kbs.
 
Last edited by a moderator:

Skirtel fits the bill
 
Hata mi I go for Hendo...!
 
Game sikuicheki jana ila nimeangalia highlights, inabidi sasa BR afanye maamuzi magumu ya kum sacrifice mmoja kati ya Raheem au Coutinho, mmojawapo ndio awe anacheza nyuma ya strikers, kuliko kuchezesha wote kwa namba wasizoziweza.
 
Kiwu ya funs wa Liverpool tunataka new players waanze wote,lakini kuanza kutoa makosa siyomuda wake.
Pili kwa sasa unakuwa na kikosi ndani ya uwanja na bench limesheenezi supersub.
Nimapema lakini mwaka huu Liverpool wataisikia
 
Hendo nadhani ndo anafaa..
 
Nimesoma BBC BR anasema kuna wachezaji kama kina Lucas amewaambia watafute timu, naona iko powa lakini nafsi inaniuma sana GJ na Kolo Toure kuendelea kuakaa pale benchi (hawa watu wangepotea kabisaaaaaaa).
 
Game sikuicheki jana ila nimeangalia highlights, inabidi sasa BR afanye maamuzi magumu ya kum sacrifice mmoja kati ya Raheem au Coutinho, mmojawapo ndio awe anacheza nyuma ya strikers, kuliko kuchezesha wote kwa namba wasizoziweza.

Coutinho ndo atatoswa hapa,hivi Suso atapata namba kweli?
 
Nimesoma BBC BR anasema kuna wachezaji kama kina Lucas amewaambia watafute timu, naona iko powa lakini nafsi inaniuma sana GJ na Kolo Toure kuendelea kuakaa pale benchi (hawa watu wangepotea kabisaaaaaaa).

BR hajataja jina la mchezaji,ila nadhani hii inawahusu akina Borini,Asaidi,and co.
 
Hata mie sioni mwingine zaidi ya hendo, tofauti na hendo mwingine nampendekeza moreno.
 
BR hajataja jina la mchezaji,ila nadhani hii inawahusu akina Borini,Asaidi,and co.

Copy paste ya BBC news mkuu:

Rodgers says he is "not sure" whether the 27-year-old will leave, while Fabio Borini and Oussama Assaidi are among the others linked with transfers away from the Premier League runners-up.

"Lucas is a very important member of our squad and he is unfortunate not to be in," said Rodgers after Sunday's 3-0 win at Tottenham. "I've not had anything through about him leaving but we will see how the next few days go."
 
Nukuu ya Bill Shankly hiyo,'if you don't chear us when we are losing,don't ever chear us when we are winning' kwa kifupi jamaa huyu hakutaka plastic fans kbs.

Kweli mkuu, maana hata ukilisikia You'll never walk alone song huwezi ku-shake hata kidogo
 
Game sikuicheki jana ila nimeangalia highlights, inabidi sasa BR afanye maamuzi magumu ya kum sacrifice mmoja kati ya Raheem au Coutinho, mmojawapo ndio awe anacheza nyuma ya strikers, kuliko kuchezesha wote kwa namba wasizoziweza.

Raheem yule dogo ni fundi jana alinichambulia mabeki watatu na kipa sema akachelewa kushuti kipa akawa amerudi kwenye nafasi nzuri, wakati fundi raheem anafanya yake kule BR alikuwa anasumbuka na midadi ya kushangalia hahahahahaha lazima am-drop coutinho for sterling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…