Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu kama siamini kuondoka kwa Agger.nahisi km ni ndoto.najaribu kuwaza ni nani atavaa viatu vya agger?especially ktk uongozi (VICE CAPTAIN)? Mi binafsi namfikiria Hendo......sijui nyinyi wakuu......cc Mosdef, Magnificent, Janjaweed, Malafyale, Pazi, Blac kid, Osokonoi, Mzee wa rubisi, Gwamahala. .......maoni yenu hapa jamani.

Nilishawahi pitia article fulani somewhere nikaona watu wengi hata mazungumzo fulani ya BR ingawa hayakuwa direct it seems wanamuandaa Hendo kuwa future Gerrard (captain of the team)
 
Wakuu kama siamini kuondoka kwa Agger.nahisi km ni ndoto.najaribu kuwaza ni nani atavaa viatu vya agger?especially ktk uongozi (VICE CAPTAIN)? Mi binafsi namfikiria Hendo......sijui nyinyi wakuu......cc Mosdef, Magnificent, Janjaweed, Malafyale, Pazi, Blac kid, Osokonoi, Mzee wa rubisi, Gwamahala. .......maoni yenu hapa jamani.

Mm ningempa Skrtel
 
Raheem yule dogo ni fundi jana alinichambulia mabeki watatu na kipa sema akachelewa kushuti kipa akawa amerudi kwenye nafasi nzuri, wakati fundi raheem anafanya yake kule BR alikuwa anasumbuka na midadi ya kushangalia hahahahahaha lazima am-drop coutinho for sterling.

Dogo Raheem atakuja kuwa moto wa kuotea mbali...power, pace, shooting ability vyote anavyo.

Just imagine akifikisha 22 au 23 atakuwaje? Kama Mungu akimuepusha na injuries... basi LFC tutakuwa na a prolific goal scorer kama Shearer au Henry!
 
Dogo ni mzuri ila tatizo lake kubwa ni kwenye umaliziaji.
 
Raheem mashine ile atatisha sana katika age hiyo yule dogo.
 
10620812_809315102460740_1349955908523947325_n.png
 
Sturridge, sterling na Hendo naona leo watajiunga camp ya England kwa maandilizi ya kutetea nchi yao.
 
Dogo ni mzuri ila tatizo lake kubwa ni kwenye umaliziaji.

Unakumbuka CR7 alivyokuwaga kipindi yupo Man Utd immediately from Porto? Alikuwa anakosea kinoma ila kwakuwa alikuwa determined kujifunza alibadilika akawa MKALI balaa.

The kid z still learning mkuu...but the potential to be a prolific goal scorer is there kama akijifunza kwa bidii na asipate injuries ambazo ni career threatening.
 
Mosdef,Pazi,The magnificent,Black kid, Mzee wa rubisi,Osokonoi,Mentor, Gwamahala & Co tafuteni muda muangalie tena perfomance ya Joe Allen.
Hakika ndo man of the match katika ushindi wetu wa jana.
 
Hah hahaha ha ha ha! Huhitaji kurudi youtube kuangalia clips za Joe kufahamu ubora wake,unapoona kawaweka benchi wachezaji kama Lucas,Can,unaweza kukonfem ubora wake,afu wakuu,sidhani kama SG jana alicheza deep DM,au ni mfumo?
 
Mosdef,Pazi,The magnificent,Black kid, Mzee wa rubisi,Osokonoi,Mentor, Gwamahala & Co tafuteni muda muangalie tena perfomance ya Joe Allen.
Hakika ndo man of the match katika ushindi wetu wa jana.

ALLEN ndo maana BR huwa anamuita *Welsh Xavi*..anajua sana kukituliza kiungo..lakini always perfomance yake huwa inakuwa *unnoticed* kila mara anapocheza.i thought he was our Best player pia dhid ya Man city!!!

Allen ni mzuri..
 
Heee li falcao limetua kwa watani wetu.hata hivyo 7 up bado itawahusu tu.
 
Yule Aly Cissokho mnamkumbuka? Amesajiliwa Aston villa msimu huu,jana kajifunga..teh teh teh!
 
Back
Top Bottom