Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Wakuu kama siamini kuondoka kwa Agger.nahisi km ni ndoto.najaribu kuwaza ni nani atavaa viatu vya agger?especially ktk uongozi (VICE CAPTAIN)? Mi binafsi namfikiria Hendo......sijui nyinyi wakuu......cc Mosdef, Magnificent, Janjaweed, Malafyale, Pazi, Blac kid, Osokonoi, Mzee wa rubisi, Gwamahala. .......maoni yenu hapa jamani.

Hata mie sioni mwingine zaidi ya hendo, tofauti na hendo mwingine nampendekeza moreno.
Raheem yule dogo ni fundi jana alinichambulia mabeki watatu na kipa sema akachelewa kushuti kipa akawa amerudi kwenye nafasi nzuri, wakati fundi raheem anafanya yake kule BR alikuwa anasumbuka na midadi ya kushangalia hahahahahaha lazima am-drop coutinho for sterling.
Dogo ni mzuri ila tatizo lake kubwa ni kwenye umaliziaji.Raheem yule dogo ni fundi jana alinichambulia mabeki watatu na kipa sema akachelewa kushuti kipa akawa amerudi kwenye nafasi nzuri, wakati fundi raheem anafanya yake kule BR alikuwa anasumbuka na midadi ya kushangalia hahahahahaha lazima am-drop coutinho for sterling.
Dogo Raheem atakuja kuwa moto wa kuotea mbali...power, pace, shooting ability vyote anavyo.
Just imagine akifikisha 22 au 23 atakuwaje? Kama Mungu akimuepusha na injuries... basi LFC tutakuwa na a prolific goal scorer kama Shearer au Henry!
Dogo ni mzuri ila tatizo lake kubwa ni kwenye umaliziaji.
Dogo ni mzuri ila tatizo lake kubwa ni kwenye umaliziaji.
Sturridge, sterling na Hendo naona leo watajiunga camp ya England kwa maandilizi ya kutetea nchi yao.
Mosdef,Pazi,The magnificent,Black kid, Mzee wa rubisi,Osokonoi,Mentor, Gwamahala & Co tafuteni muda muangalie tena perfomance ya Joe Allen.
Hakika ndo man of the match katika ushindi wetu wa jana.
Mosdef,Pazi,The magnificent,Black kid, Mzee wa rubisi,Osokonoi,Mentor, Gwamahala & Co tafuteni muda muangalie tena perfomance ya Joe Allen.
Hakika ndo man of the match katika ushindi wetu wa jana.
Heee li falcao limetua kwa watani wetu.hata hivyo 7 up bado itawahusu tu.
Watani wetu wepi mkuu????