Wakuu hakuna tetesi zozote kuhusu kupata signature ya Valdez ktk dakika hizi za mwisho-mwisho?
kuna barua moja nimeikuta huko kwenye mitandao shabiki kamuandikia Baloteli imenichekesha balaa,natumia kamchina,ningeicopy na kuipaste hapa! Moja ya mstari jamaa anamwambia Balo....one thing you have got for sure,is ability to create emotions to men's hearts...
Me skuona mantiki ya kumtoa Coates kwa mkopo at this stage..pia Kama LUCAS nae akiondoka we'll Be katika janga kubwa sana, maana he's the only Natural DM tuliyenae kwenye kikosi..anahitajika sana jamaa...
Sending out Coates and Illori afu kum-bakiza Kolo as a backUp CB doesnt make sense kabisa..
Tutajie tu hiyo address tuifuate huko huko tukaisome...!
Kama Falcao ni homa kali iliyoko Manure basi Kops tuna Ebola, Super Mario !!!!
Me skuona mantiki ya kumtoa Coates kwa mkopo at this stage..pia Kama LUCAS nae akiondoka we'll Be katika janga kubwa sana, maana he's the only Natural DM tuliyenae kwenye kikosi..anahitajika sana jamaa...
Sending out Coates and Illori afu kum-bakiza Kolo as a backUp CB doesnt make sense kabisa..
Tehtehteh nimtokeza Leo natizama maajabu ya mwisho wa kufungwa Dirisha! Falcao to United nawapa Man U heshima ni deal Zuri japo zamani nishawahi kusema Falcao si mchezaji anayejuwa kukokota mpira ila jamaa mkali akipata timu inayomuangushia cross kutoka winger za pembeni kwahili timu pekee kubwa za England ni Man U tu ndio inamfaa hata Welbeck japo hamumtaki anaweza kufaa ila Wenger atakuja kufanya Usajili usiku Leo saa tano ambao wengi tutashangaa hawezi kwenda Italy bure bure Strootman au striker tutakuja kuona RubamanPazi bado kajificha?
Moja ya kosa tunataka kufanya ni kumtoa Coates kwa mkopo, issue kama ni kupata games za kucheza kwa nini wasingembakisha Agger au Illori hadi Januari ndio wawa release?! Kolo ni liability Sakho katoka kwenye majeruhi, Skrtel ndio hivyo tena.
Namtakia mafanikio mema jamaa na yoyote atayeoondoka Kama Loan! Mie naamini Usajili tumemaliza na nimerizika nao ila japo Juzi tumeshinda Mie Sakho bado siamini ni wakucheza na Lovren kwa maoni yangu ni Skertel na Lovren ndio wakucheza pamoja.Kishaondoka huyo!!
Nakubaliana wote si wachezaji wabaya ila tuwe wakweli Falcao ni mashine hasa kwa style wanavyocheza United! Ila zaidi ya hapo I'm happy na timu tuliokuwa nayo.Kama Falcao ni homa kali iliyoko Manure basi Kops tuna Ebola, Super Mario !!!!
Namtakia mafanikio mema jamaa na yoyote atayeoondoka Kama Loan! Mie naamini Usajili tumemaliza na nimerizika nao ila japo Juzi tumeshinda Mie Sakho bado siamini ni wakucheza na Lovren kwa maoni yangu ni Skertel na Lovren ndio wakucheza pamoja.
Kwanini Sakho humkubali kihivyo?
Jamaa anajiamini sana anapenda kumrudishia kipa na jengine anapogeuka ndio huko huko anapopiga mpira alafu kengine anaweza kutuliza mara mguu Una vibrate basi hapo Kama Una remote utatamani kulima tv ila akikamuwa kutulia utsmpenda wengi Skertel ndio wanamuona mbabaishaji ila Mie Skertel ndio namuaminia na Agger ndio nimesikitika kuondoka sababu Agger Kama kweli kaondoka kwa 3m bora angebaki na kuondoka Free!Kwanini Sakho humkubali kihivyo?