MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Wakuu hakuna tetesi zozote kuhusu kupata signature ya Valdez ktk dakika hizi za mwisho-mwisho?
He's a free agent kwa sasa, hana mkataba na team yoyote..whats holding back ni suala lake la Majeruhi.
So ishu yake haina haraka sana, muda wowote ule tunaweza kumsajili, pale tu LFC watakapojirizisha na recovery ya Jamaa kutokana na yale majeruhi yake..
So relax..ni *free agent* jamaa!