Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii point ya ukweli matokeo yake utaona watu wanakimbizana uwanjani bila kuelewana Mie bwana timu ikichemsha nasema kweli sina muda kutetea ujinga Kama wengine timu zao zikifungwa hawataki kujadili ukweli, timu ikifungwa hawakubali Kama kuna makosa, Jamie Rekdnapp anaongelea Goli tuliofungwa Lovren anabishana na Sendros ndio ila Goli limetokea na a Sakho amepata mpira Hana mtu alitakiwa kupiga Mbele Anarudi nyuma Kama Phil Jones matokeo yake kona na ile kona ukiwaacha Lovren kwa Sendros mwenye kosa ni Kipa na Steven Gerrad kwenye mwamba, hakumtaja Mignolet sababu angesema Mignolet anakosa itabidi amtaje Steven Gerrad wote walikuwa na makosa nje ya Goli timu nzima imecheza ovyo wakipata wanasimama wanafikiria wapi wapige, Liverpoolfc nayo jua Pasi mbio tafuta sehemu speed.
 
Msimu huu inaonekana Liverpool wataifanya Manchester United ionekane timu kali. Mechi 4 zilizochezwa mmeshafungwa 2, msipoangalia mambo yanaweza kuwaendea vibaya zaidi UCL ikianza j4 na j5..

Their mistake...ndo...kitu kitawacost
 
kikosi bado hakipangiki,tusipoangalia yale ya spurs msimu ulioputa yanaweza kutukuta,wachezaji wote leo walikua wanacheza ili mradi tu hakuna team work kbsa BR bdo anakazi kubwa ya ku organise wachezaji wake otherwise not gud for us..Ynwa.
 
Rogers kaongea angalau japo hajakipaka ila nyuma ya pazia awape ukweli ila nimependa kakubali kila kitu Leo tumekuwa wapili kwa Aston Villa ila Sijapenda amekasirika kuhusu International games na wachezaji kuumia Mie sipendi timu kulalamika Mchezaji wameumia hata waumie wachezaji watano waliokuwepo lazima wafanye kweli, Mpira zamani Bench mtu mmoja tu au wa 3 na hao wa 3 wa bench wanaweza wasipate kucheza hata game 15 enzi za 70's siku hizi akiumia players timu ikifungwa inakuwa sababu lazima wote wajitume Kama kuumia tunaumia sie mashabiki sio wao lawama za sijui nani kaumia angekuwepo wangekoma ni boring, nisubiri kuona mayweather anapigwa au atashinda usiku.
 
Jamani eeh,kufungwa mbona ni kitu cha kawaida sana kwenye mpira? Huna haja ya kuumia saana,tatizo wenzangu naona hizi timu za wazungu mmeziweka rohoni kabisa...
 
Marefa wawe making kwan know kitendo alichofanyiwa balotel na sendroz hakikubaliki
 
Kuna mchapo kule Spain wa RMA na ATM dakika ya 68 1-1
 
Marefa wawe making kwan know kitendo alichofanyiwa balotel na sendroz hakikubaliki
Refa hakuona ila washika kibendera ameona alisubiri Balloteli arushe ngumi au afanye vile ndio amtaharifu refa angefanya Balloteli Mshika kibendera angeongea kwenye radio yake ila yote yamepita tushafungwa tutizame game ijayo Pengine kila kitu kitawekwa sawa warudi strong.
 
You are right, BR got his tactics wrong, aliwadharau Villa,

Huwezi kuanza na new players sita, and a few of them ni liabilities, Lallana is just back from injuries, balo bado haja-gel, Borini was another waste of a player

he should have started with Raheem and rest him for Adam while the game has moved a bit, kuondoa debut anxiety

all in all, in 16 games with aston villa, at anfield, we have only won 3, so its not surprising
 
bado naamini kutomfungia kazi Falcao na kumchukua ---- itatukocst

---- cant change the game, he can only put icing on a cake
 
bado naamini kutomfungia kazi Falcao na kumchukua ---- itatukocst

---- cant change the game, he can only put icing on a cake

Mkuu,huo sasa ndo ushabiki wa kiswahili....we unadhani leo hata tungekuwa na huyo Falcao angefanya nini? Mwaka jana tulifungwa na hull,man city,chelsea,soton na arsenal,Suarez hakuwepo? Alifanya nini?
 
Mkuu,huo sasa ndo ushabiki wa kiswahili....we unadhani leo hata tungekuwa na huyo Falcao angefanya nini? Mwaka jana tulifungwa na hull,man city,chelsea,soton na arsenal,Suarez hakuwepo? Alifanya nini?

i was comparing Balo na Falcao, hayo ya kufungwa every team will lose, it is soccer not "bedminton"

we lacked forceful penetration today, kumbuka hata tulizopoteza last season, we showed conviction to creating and fighting, today we played something different

Kuhusu ushabiki wa kiswahili, NAKUBALI, mimi nimswahili pure, na siachi uswahili kabisa... any my club will get a lot of sticks if they dont realize that there is a multi-year plan and short term targets vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…