Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hello, mpira umeishaje
Hongereni mmeshinda 0-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello, mpira umeishaje
Hii point ya ukweli matokeo yake utaona watu wanakimbizana uwanjani bila kuelewana Mie bwana timu ikichemsha nasema kweli sina muda kutetea ujinga Kama wengine timu zao zikifungwa hawataki kujadili ukweli, timu ikifungwa hawakubali Kama kuna makosa, Jamie Rekdnapp anaongelea Goli tuliofungwa Lovren anabishana na Sendros ndio ila Goli limetokea na a Sakho amepata mpira Hana mtu alitakiwa kupiga Mbele Anarudi nyuma Kama Phil Jones matokeo yake kona na ile kona ukiwaacha Lovren kwa Sendros mwenye kosa ni Kipa na Steven Gerrad kwenye mwamba, hakumtaja Mignolet sababu angesema Mignolet anakosa itabidi amtaje Steven Gerrad wote walikuwa na makosa nje ya Goli timu nzima imecheza ovyo wakipata wanasimama wanafikiria wapi wapige, Liverpoolfc nayo jua Pasi mbio tafuta sehemu speed.Kweli mkuu, kuna kipindi mechi ya leo ilinikumbusha Liverpool ya kina Sinama Pongolle. Huwezi kuamini hii ni timu iliyofukuzia ubingwa miezi mitano iliyopita. Rogers kaingiwa na nini? Anayekosekana msimu huu ni Suarez tu, wengine karibia wote wapo(ingawaje mna majeruhi, Sturridge) kwa nini asianze na kikosi cha msimu uliopita badala ya kuchezesha wengi walionunuliwa ambao wanahitaji muda kuzowea mpira wa Liverpool?
Msimu huu inaonekana Liverpool wataifanya Manchester United ionekane timu kali. Mechi 4 zilizochezwa mmeshafungwa 2, msipoangalia mambo yanaweza kuwaendea vibaya zaidi UCL ikianza j4 na j5..
Steven Gerrad anahitaji kupumzishwa wadau.
Refa hakuona ila washika kibendera ameona alisubiri Balloteli arushe ngumi au afanye vile ndio amtaharifu refa angefanya Balloteli Mshika kibendera angeongea kwenye radio yake ila yote yamepita tushafungwa tutizame game ijayo Pengine kila kitu kitawekwa sawa warudi strong.Marefa wawe making kwan know kitendo alichofanyiwa balotel na sendroz hakikubaliki
You are right, BR got his tactics wrong, aliwadharau Villa,Rogers kaongea angalau japo hajakipaka ila nyuma ya pazia awape ukweli ila nimependa kakubali kila kitu Leo tumekuwa wapili kwa Aston Villa ila Sijapenda amekasirika kuhusu International games na wachezaji kuumia Mie sipendi timu kulalamika Mchezaji wameumia hata waumie wachezaji watano waliokuwepo lazima wafanye kweli, Mpira zamani Bench mtu mmoja tu au wa 3 na hao wa 3 wa bench wanaweza wasipate kucheza hata game 15 enzi za 70's siku hizi akiumia players timu ikifungwa inakuwa sababu lazima wote wajitume Kama kuumia tunaumia sie mashabiki sio wao lawama za sijui nani kaumia angekuwepo wangekoma ni boring, nisubiri kuona mayweather anapigwa au atashinda usiku.
Ni 2-1 kwa AtleticoKuna mchapo kule Spain wa RMA na ATM dakika ya 68 1-1
bado naamini kutomfungia kazi Falcao na kumchukua ---- itatukocst
---- cant change the game, he can only put icing on a cake
Mkuu,huo sasa ndo ushabiki wa kiswahili....we unadhani leo hata tungekuwa na huyo Falcao angefanya nini? Mwaka jana tulifungwa na hull,man city,chelsea,soton na arsenal,Suarez hakuwepo? Alifanya nini?