Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Wewe na mimi nani anateseka mpaka mmeona mumlete na Halland a jaribu kumuondelea Pep aibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwan nyie mlikwama wapi kumchukua huyo halland? Mnateseka eeeeh/
 
Mlisema Newcastle wako vzuri watawazuia city wakala chuma 5-0

Oooh wanakutana na Leeds ambayo iko moto ,atawazuia kala chuma 4-0

Mara ,wolves hawezi kumuacha man city ,lazima wolves amfunge city [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kapigwa 5-1 .,...

Tunakuja kwa huyo westham Tena , endeleeni kuomba hivo hivo [emoji23] ni mwendo wa kutoa vipigo tu
Pia tulisema huwezi kufika final uefa[emoji16]
 
Ikitokea man city kashinda dhidi ya westham, Basi game zetu zilizobaki wacheze akina Elliott,

Tupumzishe wachezaji hata kwa hizi siku chache zilizobaki kuelekea final, vijana wamechoka mno.
 
Back
Top Bottom