Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wale wanaopenda kumtaja Pazi na Leo tutasikie basi ........ Angalau point 3 ni 3 tu ila Huyu Mignolet ajifunze kila siku yeye tu? Lallana alikuwa anajipiga chenga mwenye tu uwanjani, LFC tujifunze kumpigia Mario Ballotelli mpira hata Kama mpira mbovu ukimpa Mario kuna mawili atafanyiwa Foul au atakuwa anamjaribu kipa LFC hatujaribu Lucas siimpendi ila ile ni muundo wetu wa kucheza alivyoingia mipira lazima tuidondoshe kwenye Box Pasi nyingi nyuma hazisaidii kitu zaidi ya hapo Liverpoolfc YNWA! love you All Wana Kop wenzangu. Wengine tafuteni channel za kutizama weekdays sizani Kama Mnacheza! LFC YNWA! 2-1 to The Kop.
 
Timu yetu ikicheza hatuna muda wa kuchat hapa LFC mashabiki wanatizama mpira mpaka kipenga ukiona mtu hajatizama Game ujue siku Hiyo hajapata nafasi ya kutizama hahaha ila mliokuwepo asanteni kwa kukuwepo.
 
Nimefurahi sana kupata ushindi home...sijaangalia gemu.

Mlioangalia gemu leteni uchambuzi jamani...
 
Timu yetu ikicheza hatuna muda wa kuchat hapa LFC mashabiki wanatizama mpira mpaka kipenga ukiona mtu hajatizama Game ujue siku Hiyo hajapata nafasi ya kutizama hahaha ila mliokuwepo asanteni kwa kukuwepo.

Sijaangalia leo gemu mkuu...yaani nimeumia sana kutoiangalia mechi yetu tena ya home.

But am very happy tumeshinda mkuu.
YNWA.
 
Dah! Kweli "mtu chake". Ivi mpaka leo timu hii bado inamashabiki wenye uthubutu wakuongea pumba kama hii?!!
 
sasa baba yangu hapa anahusika vp?!" ............ usiutest mkuki kw kuukalia shairi yako!"

Grand PA

hahahaaa, mkuu unachapia... imekuaje tena

we umetest mkuki kwa kuukalia sasa umekupenya

kakojoe ulale ukue dogo
 

minyolee is giving BR every reason to look for another keeper
 
Timu yetu ikicheza hatuna muda wa kuchat hapa LFC mashabiki wanatizama mpira mpaka kipenga ukiona mtu hajatizama Game ujue siku Hiyo hajapata nafasi ya kutizama hahaha ila mliokuwepo asanteni kwa kukuwepo.

niko ngara ndani ndani uku yani ata network ni shida,uwezi amini ndo napata matokea ssahivi,usingizi uligoma kabsa..asante sana japo leo kwa updates mmetutosa,siku mwema ynwa.
 






Hongereni wakuu naona mambo yenu sio mabaya ... ... .




Balotelli, who arrived at Anfield in a £16million deal from AC Milan

 
Watu tusikate tamaa jamani!Kikosi cha players 11 ni 2 tu wamewahi kucheza CL football!Hawa wakizoea itakuwa balaa nawaambieni!
 
Hongereni kwa ushindi wa jana. Ila naona mmepata picha ya kushiriki UCL na EPL. Maana yake baadhi ya mechi mnacheza ndani ya wk mara 2 angalau. Huu ndo mkweli kwa nini watu wanasema itakuwa ngumu kwa Liver kucheza kama msimu ulopita. Mechi ya Aston Villa, Rogers alikuwa na jicho moja UCL, na ikawagharimu. Cha muhimu mmepata point 3, ila msimu ni mrefu na mgumu. Hongereni kwa kurudi kwenye mechi za wakubwa j4 na j5 usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…