Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani sana kujua kinachoendelea,naonz leo kimya..?
Timu yetu ikicheza hatuna muda wa kuchat hapa LFC mashabiki wanatizama mpira mpaka kipenga ukiona mtu hajatizama Game ujue siku Hiyo hajapata nafasi ya kutizama hahaha ila mliokuwepo asanteni kwa kukuwepo.
Liverfools mmebebwa, ...........
Grand PA
Kesho nitakuja kusema chochote hapa kuhusiana na game ya leo,ngoja nilale kwanza.
Dah! Kweli "mtu chake". Ivi mpaka leo timu hii bado inamashabiki wenye uthubutu wakuongea pumba kama hii?!!Wale wanaopenda kumtaja Pazi na Leo tutasikie basi ........ Angalau point 3 ni 3 tu ila Huyu Mignolet ajifunze kila siku yeye tu? Lallana alikuwa anajipiga chenga mwenye tu uwanjani, LFC tujifunze kumpigia Mario Ballotelli mpira hata Kama mpira mbovu ukimpa Mario kuna mawili atafanyiwa Foul au atakuwa anamjaribu kipa LFC hatujaribu Lucas siimpendi ila ile ni muundo wetu wa kucheza alivyoingia mipira lazima tuidondoshe kwenye Box Pasi nyingi nyuma hazisaidii kitu zaidi ya hapo Liverpoolfc YNWA! love you All Wana Kop wenzangu. Wengine tafuteni channel za kutizama weekdays sizani Kama Mnacheza! LFC YNWA! 2-1 to The Kop.
fool baba yako
hakuna mbeleko pale
nyambaffff
sasa baba yangu hapa anahusika vp?!" ............ usiutest mkuki kw kuukalia shairi yako!"
Grand PA
Wale wanaopenda kumtaja Pazi na Leo tutasikie basi ........ Angalau point 3 ni 3 tu ila Huyu Mignolet ajifunze kila siku yeye tu? Lallana alikuwa anajipiga chenga mwenye tu uwanjani, LFC tujifunze kumpigia Mario Ballotelli mpira hata Kama mpira mbovu ukimpa Mario kuna mawili atafanyiwa Foul au atakuwa anamjaribu kipa LFC hatujaribu Lucas siimpendi ila ile ni muundo wetu wa kucheza alivyoingia mipira lazima tuidondoshe kwenye Box Pasi nyingi nyuma hazisaidii kitu zaidi ya hapo Liverpoolfc YNWA! love you All Wana Kop wenzangu. Wengine tafuteni channel za kutizama weekdays sizani Kama Mnacheza! LFC YNWA! 2-1 to The Kop.
Timu yetu ikicheza hatuna muda wa kuchat hapa LFC mashabiki wanatizama mpira mpaka kipenga ukiona mtu hajatizama Game ujue siku Hiyo hajapata nafasi ya kutizama hahaha ila mliokuwepo asanteni kwa kukuwepo.
![]()
![]()
Hongereni wakuu naona mambo yenu sio mabaya ... ... .
![]()
Balotelli, who arrived at Anfield in a £16million deal from AC Milan